Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,967
- 10,461
Kivip ,huyo ni tapel tuNo thank you, heshimu imani za watu please!
Mimi nimewaambia mara kibao na narudia Magufuli hakuwa Raisi kwa bahati mbaya, JPM tangu 2012 ana ulinzi special tofauti na mawaziri wengine na watu wa kitengo walikuwa wanajua mapema.Hebu jiulize kati ya hayo majina yote aliyoyataja nani anaweza kuwa mbabe zaidi ya JPM?.. Hapo ndo PUZZLE ilipo.Kuna uzi humu wa 2014 wa Paschal Mayalla unafukuliwaga na kupotea,alisema wazi Raisi ajaye ni JPM watu wakambeza na ilikuwa 2014, Ila alikataa katakata mpaka kesho kusema kwanini alihisi ni JPM na wapi alisikia, hata wakiufukua huwa anakataa kusema.Huu sio utabiri, huyu alijua nani anafata akajiongeza kuelezea hulka ya huyo mtu atakayefata kwa namna anavyomfahamu akiwa waziri.Ukienda extra mile utakubaliana na mimi.Huyu jamaa hapana ,nooo nooo ..sio hali yakawaida hii .
Nahis nimoja ya watu wanaotupangiaga matukio hapa nchini ..
Hii zaidi ya Utabiri . Karama hizi zilishatoweka.
Jamaa kaandika post ya mwaka 2012 htadhani kaiandika leo. Kuna watu wana maono bhana. Hongera MAGAMBA MATATU.
Sent using Jamii Forums mobile app
...Kama ulikuwa unafuatilia yaliyoendelea katika kikao cha ccm dodoma, utagundua kuwa wameshtuka na kupendekeza masuala ya coalitions katika kutawala serikali yawekwe kwenye katiba mpya.
...Possibly.
...Ni kweli. Lakini si lazima tupate rais dikteta come 2015. Well, lets wait and see.
Huyu MAGAMBA 3 anaishi? Ni mnabii wasiasa! Natembelea sana JF ila sikupta kuona huzi huu! He is a great thinker...kwa ilivyo sasa anaweza twambia 2020 nini kitatokea Bara na zaidi Zenj?
Acha masikhara mkuu!Asilimia kubwa ya watu wanaochangia uzi huu wanaonyesha kuwa matukio yaliyotabiliwa yametimia... Kibaya zaidi sio matukio mazuri... Watu kupotea,kuuwawa kwa raia, ukandamizwaji wa demokrasia ni baadhi ya mambo yaliyotabiliwa... Swali la kujiuliza je rais wetu ndio mhusika wa haya? Je hakuna watu wa chama chake humu kukanusha yanayosemwa na wachungiaji kuwa yametimia?... Naamini rais pia anapita pita humu au kuna watu wake wanapopelekea taarifa kutoka jf hasa uzi ulio na wachungiaji wengi... Je hawaoni umuhimu wa kuprove wrong uzi huu...masw ni mengi kwakweli
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa Mkuu Ila Sikudhani yule Mzee ni mtu wa Mitandao mpaka Huku JF alifika..ila all in all una Code Rahisi sana Kudadavavua.Ndiyo huu uzi wa kitambo sana naukumbuka, ulaindikwa na mzee Joseph Mauzi baba yake February mauzi
Mkuu habari yako mjombaMungu akufumbue macho uone mwanga badala ya giza la udikteta!
tunapigania utawala wa sheria na haki, na ndio tunawataka watanzania wote pamoja na wewe tuelewe!
Tanzania ni ya watanzania wote, si ya hao unaowataja! Amka!
Mzee Joseph Mauzi=Mzee YUSUPH MAKAMBA.Mauzi hajajulikana sana ni nani naona watu wameanza kuchanganyikiwa na kuchanganya madaa
Ikaenda ikaisha na ikaishia hapo
Hapo Inabidi atujibu huyu BRITANICCA isije Ikawa Wana-Expose taarifa zetu hawa.Kwani ni kweli anaitwa Joseph mauzi?
na kama ni kweli Britannica kajuaje?
Na kama kuna uwezekano wa kujua jina halisi vipi usalama wa taarifa za membaz?