Recent content by Jumah JR

  1. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kipindi nasikilizia placement nilileta scenario kama hiyo kwenye huu huu uzi kuna mdau (siku hizi simuoni sijui amepotelea wapi) akanambia fua begi haikuchukua muda mkeka uka boom!!!
  2. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Placement letter yako ipo njian mkuu
  3. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    CRDB mzigo tayarii💣💣💥💥
  4. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    kama walipeleka majina yenu hazina kabla ya tarehe 15 hapo uhakika mzigo lazima uingie
  5. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Sawa mkuu kila la kheri sisi acha tuendelee kubaki huku as long as tuna pay bill, familia hailali njaa na mambo mengine yanaenda tunaifurahia hii ajira
  6. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kwani huwezi kujitegemea huku una ajira au tunakaririshwa san mkuu
  7. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hao mbona ni utumishi wa mchongo sio official page yao hiyo
  8. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Nahisi ni mwaka mmoja kuna mdau tulipiga nae interview mwaka jana mwez wa 5 amecheki hiyo interview imemuandikia databank expired
  9. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Inasemekana ndo database yenyewe kwahiyo sasa hivi unakuwa unajijua kama upo database
  10. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    SIna hakika mkuu labda kama imeingia kwa baadhi.
  11. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Duuh huku CRDB watatuua mamb bado
  12. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Bank gan mkuu
  13. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Ngoja tusikilizie hii weekend kam mama atacheka
  14. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kama makato bado hii ngoma c itafika mpaka J3 kudadek..
  15. Jumah JR

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna mkeka huko,..💥💥💥
Back
Top Bottom