Official planner
Senior Member
- Feb 20, 2023
- 179
- 277
Kuna pdf huko mkacheki mje na ushuhuda
Hongera mkuu ukawe mtumishi mwemahPdf ya Leo imeniona aisee
Asante kakaHongera mkuu ukawe mtumishi mwemah
Hongera mkuuPdf ya Leo imeniona aisee
Hongera sana kiongoziPdf ya Leo imeniona aisee
Ila utumishi ni kama wanawakomoa waajiriwa hasa walimu, inakuwaje mtu umpangie shule za mbali na anakoishi ilhali adress yake inaonekana? Tena ndani ndani hukoo alooh ajira shikamoo
Pdf ya Leo imeniona aisee
Hongera aiseePdf ya Leo imeniona aisee
Tunakuwaga na priority tofauti huenda wewe kupangiwa mbali ndio unapendaUnataka wapangiwe karibu na wanako ishi ili iwe nn?
Hii nayo ni Fear of un-known.
Hongera ukawe mtumishi mwemahAlhamdulillah hatimaye na mimi nimeitwa kazini leo, wapendwa I hope kila mtu atapata
Ahsante sanaa mkuuHongera ukawe mtumishi mwemah
Hongera mkuu karibu kwenye Utumishi wa umma✊🏾Alhamdulillah hatimaye na mimi nimeitwa kazini leo, wapendwa I hope kila mtu atapata
Hongera sanaAlhamdulillah hatimaye na mimi nimeitwa kazini leo, wapendwa I hope kila mtu atapata