Kazanazo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2023
- 7,718
- 12,401
One day utapata mkuu ni kuendelea kusubiriMikeka imetoka mingi ila hola, hili gundu ni pro max kabisa
One day utapata mkuu ni kuendelea kusubiriMikeka imetoka mingi ila hola, hili gundu ni pro max kabisa
Pdf la kesho utakuwepo inshaallah keep believingIpo siku na mimi nitatoa ushuhuda humuu baaada ya kufanya written 18 na oral interview moja yaan 17 zote not selected moja ndo nipo selected na ndo nilifanya oral April naona tuu majina ya watu mim bado
Jumapili huwa wanatoa Pdf kweliPdf la kesho utakuwepo inshaallah keep believing
Hao huwa wanatoa siku yoyote tu pdf likiiva linaachiwaJumapili huwa wanatoa Pdf kweli
Basi ngoja tuendelee kusubiri, bila kuchoka.Hao huwa wanatoa siku yoyote tu pdf likiiva linaachiwa
Leo nimeona jina la collegemate amelamba asaliUsikate tamaa mkuu ipo siku utakuja kutoa ushuhuda humu, hata mimi nimefanya oral moja tu na placement nimeipata ndani ya mwezi mmoja
Mimi nimeona ya watu wawili mmoja wa advance mmoja tulikuwa wote chuoLeo nimeona jina la collegemate amelamba asali
Hongera kwao.Mimi nimeona ya watu wawili mmoja wa advance mmoja tulikuwa wote chuo
Hongera nawewe mkuu kwa kuwatumikia ummaHongera kwao.
Tunawakaribisha kwenye utumishi wa umma
Asante.Hongera nawewe mkuu kwa kuwatumikia umma
mkuu unajuajeKuna lingine linapikwa huko baadae linatoka, msichoke kumuomba Mungu
Natamani kujua pia, nilipofikia natamani hata kulipia tu nijue marks zangu niondokane na pressure za kuchungulia psrs kila silumkuu unajuaje
Hivi out of kusubiri pdf na kuona barua ,mtu utajuaje kuwa umepata kazi au uko database?hakuna viashiria vyovyote kwenye account vinaweza kukusmbia kuwa umetoboa or not?Kuna lingine linapikwa huko baadae linatoka, msichoke kumuomba Mungu
hakuna.Hivi out of kusubiri pdf na kuona barua ,mtu utajuaje kuwa umepata kazi au uko database?hakuna viashiria vyovyote kwenye account vinaweza kukusmbia kuwa umetoboa or not?
hakuna kaka nafasi zenyewe ni za Afisa Utawala naona wana donoa donoa tuu tuu yaaniPdf la kesho utakuwepo inshaallah keep believing
Hutakiwi kukata tamaahakuna kaka nafasi zenyewe ni za Afisa Utawala naona wana donoa donoa tuu tuu yaani