Activation ipi tena ?Toka juzi hawa Utumishi hawatumi emails za activation ya accounts mpya🤔
Activation ipi tena ?Toka juzi hawa Utumishi hawatumi emails za activation ya accounts mpya🤔
Ya accounts mpya za ajira portal mkuu.Activation ipi tena ?
OkYa accounts mpya za ajira portal mkuu.
Wengine ndiyo kwanza wamemalisa vyuo wanacreate accounts.
Nisaidie namba zao mkuu.Ok
Jaribu kuwapigia simu
Hapana sina no. zao
Jiandaeni kwa pdf baadae, kuna jamaa yangu kashatumiwa placement letterSiku nyingine tena
🤣 🤣 🤣 daah tutafika tumechoka yaani hapa nishajua kabisa simoJiandaeni kwa pdf baadae, kuna jamaa yangu kashatumiwa placement letter
watembelee account zao kuna jamaa angu nae ameula amekuta placement letter mchanaJiandaeni kwa pdf baadae, kuna jamaa yangu kashatumiwa placement letter
Jipe moyo mkuu huwezi jua🤣 🤣 🤣 daah tutafika tumechoka yaani hapa nishajua kabisa simo
Dah Mimi nimelokiwa eti wrong passwordJiandaeni kwa pdf baadae, kuna jamaa yangu kashatumiwa placement letter
Subiri kwa muda then uingie tenaDah Mimi nimelokiwa eti wrong password
Yeah, pdf litakua limeshiba maana vijana wanazidi kutoa ushuhuda kwenye group la tuliofanya oralwatembelee account zao kuna jamaa angu nae ameula amekuta placement letter mchana
La TRA kanzi data nayo ndo basi hadi awamu nyingine?Pdf limeshatoka wakuu
Itakua wanaupload barua yakoDah Mimi nimelokiwa eti wrong password
Bas hakika kila mtu atalamba asaliYeah, pdf litakua limeshiba maana vijana wanazidi kutoa ushuhuda kwenye group la tuliofanya oral
Hahaha waanze tuItakua wanaupload barua yako
Tutapata tu one day ni jambo la kuendelea kusubiriJana leo wametoa placement nyingi sana, mimi sijapata ila jobless mwenzangu kapata accounts officer Jana