Isenye
JF-Expert Member
- Dec 22, 2024
- 1,867
- 4,899
Uliwezaje kufanya interview sasa wakati tangazo lilikua specifically kwa ajili ya watu wa mucobs?vyuo vingine mfumo ulikua hauturuhusu kuapply.sasa hivi sisubiri tena maana washapangiwa wote cooperative tcdc. ila mimi sikusoma mucobs