Recent content by Jullie Z

  1. Jullie Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Did he truly mean what he said??

    Hata kama ni uvivu wa kufikiri, hapo jibu ni rahisi sana...., "NO"...., wala hakuna maelezo ya ziada labda kama unataka matumaini hewa.
  2. Jullie Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Roho mkononi

    Duh!! Nmeiona filamu ya isaya
  3. Jullie Z

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Mambo yamevurugika tena
  4. Jullie Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Roho mkononi

    Sijui nani atapona hapa
  5. Jullie Z

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Mambo mazito
  6. Jullie Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Roho mkononi

    Hatariii
  7. Jullie Z

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Pamoja sana Casuist
  8. Jullie Z

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Yule jirani alietoa maelezo juu ya kifo cha Hamida aliuawa, wasije tu wakamuua na huyu inspekta Jamila
  9. Jullie Z

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Barua Kutoka Jela

    teh teh! huyo Eshe unaemjua mume wake aliangukiwa na jumba bovu?? Inawezakuwa hii ni true story (joke)
  10. Jullie Z

    JamiiForums Tanzania Christmass Tree

    hahah! Wewe si umeambiwa ni mti wa christmass?
  11. Jullie Z

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Duh! Natamani kujua kilichofuata
  12. Jullie Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Roho mkononi

    Naona mambo yanazidi kuwa utata, asante Casuist
  13. Jullie Z

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Casuist hii hadithi ni nzuri sana, huwa hukosei kwenye kuchagua hadithi za kutuletea, thumb up
  14. Jullie Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Roho mkononi

    nlivoiona front page nimekuja mbio kidogo nivunjike mguu
  15. Jullie Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachoniuma si kunicheat, bali kumpa kile unachoninyima mimi

    umeonaee.., achukue tu hamsini zake ila huyo bidada wa ajabu kweli, kamgeuza mwenzie kitega uchumi kumbe ana kipozeo chake
Back
Top Bottom