Kinachoniuma si kunicheat, bali kumpa kile unachoninyima mimi

Kinachoniuma si kunicheat, bali kumpa kile unachoninyima mimi

ha ha ha Majigo once again...
una bahati mbaya na madem, mara unyimwe mara pedeshee akugongee ha ha ha

Unajua Evelyn Salt....Unanikumbusha Machungu
Utazani Mazuri Yalonifika Kakayo.... Unancheka Tena!....
Hebu Nipe Ushari Kuhusu Huyu Boya Aliyekula Mali Ya Watu
 
Last edited by a moderator:
Nilishawahi kufanyiwa huo ujinga,kumbe wengine wakawa wanakula. Ila yule binti hatakuja kunisahau.

Ndio maana baada ya hapo ujinga wa hadi ndoa niliukataa na hakuna wa kunishawishi vingine labda yesu kristo ashuke mwenyewe aje aniambie.
 
Pole sana boya maana wewe umebaniwa halafu mshikaji kamega kisela
 
Huyo anayekula na wewe unayeishia kunusa nani boya??????

Pole kumbuka siku zote Mwenye kisu kikali ndiye............!
 
Babu yangu aliwahi kuniambia kuwa ukitaka kuishi na mwanamke unatakiwa uwe na moyo wa chuma na roho ya plastic.....
 
Chief Eli79.... Hela Ya Kumhandle Nnayo
Mission Nyingi Nimemsapot
Nashindwa Kuelewa Nini Kinamsumbua Huyu Kiumbe
Amenifanyia Unyama Wa Karne
Nami Lazima Nimfungie Kazi
Ahsante Sana Chief

kama unamfanyia vyote hivyo halafu yeye anakufanyia upuuzi ujue kabisa hana mapenzi na wewe wala hajawahi kukupenda, yupo na wewe kimaslahi zaidi, ni bora ufanye maamuzi mengine
 
Last edited by a moderator:
Da nasikia harufu ya Damu!!!, Dogo usiende lesi, kwani ulimfumania? Au ni hisia zako tu?

Huyu Nilikuwa Na Wasiwasi Nae Baada Ya Kukuta Katuma Ujinga
Zikieleza Wazi Namna Alivyomfaidi
 
kama unamfanyia vyote hivyo halafu yeye anakufanyia upuuzi ujue kabisa hana mapenzi na wewe wala hajawahi kukupenda, yupo na wewe kimaslahi zaidi, ni bora ufanye maamuzi mengine

Kama pia anajua hamjali kwa chochote ,anaturidhisha tu hapa tuamini hivyo, baada ya bibie kupata panapomstahili ameze tu ijapokuwa ni chungu.
 
kama unamfanyia vyote hivyo halafu yeye anakufanyia upuuzi ujue kabisa hana mapenzi na wewe wala hajawahi kukupenda, yupo na wewe kimaslahi zaidi, ni bora ufanye maamuzi mengine

Maamuzi Maengine Ndo Haya Nataka Niyafanye
Ahsante Sana !chief
 
Nilishawahi kufanyiwa huo ujinga,kumbe wengine wakawa wanakula. Ila yule binti hatakuja kunisahau.

Ndio maana baada ya hapo ujinga wa hadi ndoa niliukataa na hakuna wa kunishawishi vingine labda yesu kristo ashuke mwenyewe aje aniambie.

Wanazvuruga Sana Akili
Ila Pole We Mwenzangu Maana Walikuwa Wengine Badala Ya Mwengine
Ulimfanya Nini Chief?
 
boya yeye au wewe? Wabongo kwa kujifariji! Unakaa na wife kibarazani anapita jirani na gari wife anakwambia baba flani jirani kanunua gari wewe unarahisisha "majizi hayo usiyaone hivyo.
hahahha na ni majiz kweli kweli..ndo hayo yanamsaidia kusuguaaa
 
Unajua Evelyn Salt....Unanikumbusha Machungu
Utazani Mazuri Yalonifika Kakayo.... Unancheka Tena!....
Hebu Nipe Ushari Kuhusu Huyu Boya Aliyekula Mali Ya Watu

Mi naona we ndo boya ha ha ha yani dem anakuchomesha mahindi af wengine wanamla lazma una shida wewe au hauna kauli mbiu?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kaka,yaliwahi kunikuta kwenye ukuaji wangu. Kwa sasa imebaki kuwa historia,Malipo huwa ni hapahapa duniani,yatamkuta tu. Wewe usilipe kisasi,that is non of your business. Msamehe na tafuta anakaye kuwa tayari kulia na kucheka na wewe.
 
Mi naona we ndo boya ha ha ha yani dem anakuchomesha mahindi af wengine wanamla lazma una shida wewe au hauna kauli mbiu?

Mh! Kumbe Kauli Mbiu Inahusika!...Sikulijua Hili
Hahahahah....Umemaliza!.....kauli Mbiu Eeh?
Hapa Inabidi Nijitathmini... Si Bure
Yule Naye Nilimlia Ngumu Akaenda Sawa Na Bendi...Ikaazna Kuniuma Mimi Tena!.....Ah!...Hapa Kauli Mbiu Ndo Msingi!
 
Kama pia anajua hamjali kwa chochote ,anaturidhisha tu hapa tuamini hivyo, baada ya bibie kupata panapomstahili ameze tu ijapokuwa ni chungu.

umeonaee.., achukue tu hamsini zake ila huyo bidada wa ajabu kweli, kamgeuza mwenzie kitega uchumi kumbe ana kipozeo chake
 
mahaba ninyime penz mpaka ndoa... aisee kimbia ka speed ya kimondo achana na huyo tafuta mwengine huyo sio wako
 
Back
Top Bottom