Recent content by juice ya tende

  1. juice ya tende

    Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Yes, Ni ushirika Mkuu.hujawah nifundisha kweli, hadi kazi za Saccos na MFI zimekua ngumu sasa hivi
  2. juice ya tende

    Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Hivi mkuu Lazima kuvaa Official ukiwa unasambaza hizi cv?
  3. juice ya tende

    Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Naomba nafasi kama kijana mwenzio pia, nimesoma BA in Microfinance&Enterprise development
  4. juice ya tende

    Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Naomba connection ya kazi mkuu.hongera kwa bahati
  5. juice ya tende

    Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Asantee.kesho naanza kujaribu hiilii. Mwaka wangu watatu toka nimalize Chuo.life is hard
  6. juice ya tende

    Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Cv na vyeti? Vipi barua ulikua unaandika kwa kila ofisi?
  7. juice ya tende

    GE2020 CCM asili tunampa Lissu kura zetu

    Yaani kanywe bia tu ukalale mkuu!
  8. juice ya tende

    Hupaswi kudanganywa mara mbili!

    Nadhani hatujaelewana,sijamaanisha kunyoosha wapenzi wa jinsia moja,hilo haliwezekani kwakua walishasema wapo salama hapa tz! Yaan akipata mitano tena ugumu wa maisha utazidi mara dufu, utekaji,mauaji yataongezeka zaidii! Yaani kiburi chake kitakua mara tano ya alivyo sasa!
  9. juice ya tende

    GE2020 Davis Mosha: Mpeni Magufuli, hao wengine watauza nchi

    Binafsi kama mwananchi nakubali kuuzwa tu! Haina neno
  10. juice ya tende

    CCM inakoelekea ni kubaya zaidi ya jana

    Ramuli,uberigiji, usiseme Sisi, jisemee mwenyewe!
  11. juice ya tende

    Hupaswi kudanganywa mara mbili!

    Mbona hata sasa wapo wengi tu,na simlisema wenyewe wapenzi wa jinsia moja wapo salama Tz au? Na JPM akipata mitano tenaa atawanyoosha,
  12. juice ya tende

    GE2020 CCM tumezidiwa sana na tunaweza tusimalize vizuri. Huyu mtu kasi yake ya ajabu

    Kikundi hicho ndo chawapiga kuraa tar28, au mnahisi vinavyopostiwa huku au mtandaoni kama mnavyosema ni robot zinatumika
  13. juice ya tende

    GE2020 CCM tumezidiwa sana na tunaweza tusimalize vizuri. Huyu mtu kasi yake ya ajabu

    Nikukumbushe tu hawa waliopo mtandaoni ndo wapiga kura.
  14. juice ya tende

    Sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro inaungua moto!

    Nipo maeneo ya soweto naona Moto mkali sana hapa, huko hali itakua mbaya zaidi.
Back
Top Bottom