Lisu anafaa kuwa mtetezi wa wapenzi wa jinsia mmoja, Sio rais waTanzania. Kwasasa hatuitaji laana ya Sodomama na Gomora.
Mgombea Wa Pole PoleMwenyekiti wao JIWE ndio anaongoza kwa Uongo
Rashid GwajimaaKuna Mgombea hali tete sasa Hadi Ameomba Sport Pesa waokoe jahazi kwa kutuma SMS![]()
Mitano kwanzaWaingereza wana msemo usemao:
"If you cheat me once, shame on you: If you cheat me twice, shame on me!!"
Anakuja mwanasiasa anakupa ahadi tamu unampa kura. Baada ya kupata madaraka anakataa makusudi kutekeleza ahadi hiyo tena wakati mwingine kwa kubadili maneno na kukana ahadi yake hiyo. Kisha miaka mitano inapoisha, anarudi tena kutoa ahadi ile ile!!
Nini kinachokuaminisha kuwa zamu hii ahadi hiyo itatekelezwa? Danganywa mara moja, ukikubali kudanganywa mara ya pili una matatizo wewe!
Wanasiasa wanatugeuza mazuzu kabisa. Inakera!!
Mgombea Wa Pole PoleKumchagua jiwe ni sawa na kumkopesha tena mtu unaemdai
Mbona hata sasa wapo wengi tu,na simlisema wenyewe wapenzi wa jinsia moja wapo salama Tz au? Na JPM akipata mitano tenaa atawanyoosha,Lisu anafaa kuwa mtetezi wa wapenzi wa jinsia mmoja, Sio rais waTanzania. Kwasasa hatuitaji laana ya Sodomama na Gomora.
Tumpe dawa yakeKama sikumpigia 2015 tena kipindi ambacho ata maovu yake siyajui je nitampigia sasa ilihali maovu yake nayaona wazi wazi?? Khaaaa.
Hii unamaanisha kwa herufi kubwa kabisa kuwa siku ya uchaguzi kama wewe sio mwajiriwa wa Chama cha mapinduzi CCM halafu ukaenda kituo cha kupigia kura na kuwekaAhaa..
Mtaji wao ni Ujinga wetu sisi Wenyewe.
kwenye jina la mgombea Urais wa CCM umekubali kuwa MTAJI WA UJINGA KWA CCM?Amenyoosha wangapi wakati wa miaka hii mitano, au hawakuwepo?. Wanaanza kuwepo baada ya uchaguzi au??Mbona hata sasa wapo wengi tu,na simlisema wenyewe wapenzi wa jinsia moja wapo salama Tz au? Na JPM akipata mitano tenaa atawanyoosha,
Wewe kenge,Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Amenyoosha wangapi wakati wa miaka hii mitano, au hawakuwepo?. Wanaanza kuwepo baada ya uchaguzi au??
Lisu anafaa kuwa mtetezi wa wapenzi wa jinsia mmoja, Sio rais waTanzania. Kwasasa hatuitaji laana ya Sodomama na Gomora.
Kagame kampotosha akamtosa ndo sports pesa watamuokoaKuna Mgombea hali tete sasa Hadi Ameomba Sport Pesa waokoe jahazi kwa kutuma SMS![]()