NEC, kwanini hadi sasa jimbo la Arusha Mjini hakuna aliyeitwa kwenye usaili wa kusimamia Uchaguzi Mkuu?

Nimemshangaa sana!! Mimi kuuliza swali lingine yeye kajibu vingine....
Mkuu tambua humu kuna watu wamewekwa kwa kazi maalumu ya kuvuruga mijadala yenye maslahi mapana kwa taifa na huwa wanacomment mwanzo kabisa ili ku shift attention ya wachangiaji

Ukishawajua dawa yao ni ku ignore tu
 
Shilingi 35,000 ndio inakunyima usingizi?, tumeweka vijana wetu wa form 4, ambao hawawazi suala la ajira, tungeweka wa vyuo vikuu wangebadili matokeo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom