hivi we jamaa kwa akili yako unadhania rais ndiee huwa anatuma maaskari wakawakamate wanaokashifu cheo cha rais na dignity yake??? haipo ivooo na ndioo mana katika serikali kuna kitu kinaitwa separation of power me sio mtaalam sana wa cicics ila wanaojua zaidi civics wanaelewa mana yake...
hahahahhahaha yaani chalii unatuombea kifo kiasi iko chalii sio vizuri ivooo chalii sisi sote ni watanzaniaa mwanza na arusha ni kitu kimoja maneno ya humu yasikujengee chukii jamaa....yanapita tu then life baadae inasonga kama kawa
hahahahaahahahaah broo me huwa nafuatiliaa sana thread zako yaani jinsi unavyotumiaa nguvu nyingi kuilinganishaa arushaa kwa mwanza me huwa nabaki nacheka tu
umeongea mambo mengi lakini umeongea mambo ya kitoto yote...hivi adi saiv kwa umri wako hujajua kutetea mji wako unaoishi ata kumshawishi mwekezaji aje awekeze??? kwa IQ yako tanzania na arusha kwa ujumla ina kazi ya ziada kama watu wake ndioo wanaupeo kama huu...eti mtaani unapishana na wazungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.