kizeze
JF-Expert Member
- Sep 25, 2012
- 312
- 331
Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.
Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitisha kuwa, msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James Nsemwa, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.