Nakumiss Mangwea

Ushaambiwa ucguse maj kama huwez kuogelea, onawanatapatapa hawana pakutokea, wanakoca cha kuongea wanakaa kumdic ngwair!!

 
Hivi mademu kwa nn hamjiamini mwanaume kwa mwanamke ni sawa na mfupa kwa fisi... yeah... rip mangwea
 
bastola cash and toa code someka
wapi lipo bata wapi leo kinaeleweka
napesa mingi mpaka natamani jiteka
then watu wako kingstone ka jamaica
ni mamodal madodo waku roll na magangsta
divas and hustlers, paper, chasers [HASHTAG]#tunakesha[/HASHTAG] kama CNN
 
kwa kuskesha na kula bata tuko so allergic
kwa watoto wa geti kali we r so magnetic
mapedeshee wanapigwa tu mitama account zao
si tunazidi chafua bedsheets za mama zao
tunajikinga japo wanamind kuzaa nasi
wanathamani ya diamond na tunawabeba for free
ishu zote unasimamia playboy ana understand
na leo kesho akizingua unatake her bestfriend [HASHTAG]#tunakesha[/HASHTAG] kama CNN
 
Simmiss wala nini

Alishiriki kuwaharibu vijana wenzie kwa mangano yale
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom