Recent content by Jt jr

  1. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Usanii wa Tigopesa na Mpesa

    Duh mkuu kama Hamna chuma ulete basi kijana wako ndo chuma apeleke!
  2. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Castle Lager imepanda bei au mimi ndo nimepandishiwa bei?

    Mkuu hujaibiwa, sisi wengine tushahama tunatumia za mwendo kasi aka balimi ndogo! Lager inauzwa now kati ya 2500- 2800
  3. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima kila raia wa Tanzania awe na kovu la ile sindano ya ndui begani?

    Hiyo siyo chanjo mkuu ni alama ya mtanzania iliyobuniwa na wakoloni kutofautisha wakoloni Wa Tanzania na Wa mataifa mengine, mfano wakenya hawachomwi begani ila ni katikati ya mkono. Hiyo ilwasaidia wakoloni kutofautisha watz na wakenya
  4. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Kinachofanyika shinyanga na kwaya ya AIC ni ujinga tu

    Hata Mimi nimejiuliza hivi kwaya ni kiburudisho kwenye mikutano ya siasa nahisi hiyo kwaya ni bongo fleva tuu maana wanavyokata viuno mmmhhh
  5. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Sifa kuu ya Kiongozi yoyote ni Hekima na Busara

    Watu wenye busara mara nyingine tunaogopa kuitwa wachochezi
  6. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Sifa kuu ya Kiongozi yoyote ni Hekima na Busara

    Be first to reply!
  7. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Nani wa kunisaidia siku za mateso yangu?

    Pole mkuu
  8. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Buhari watajwa kama marais walioangusha matumaini ya wananchi

    Na ndio kwanza mwaka mmoja cjui hiyo mitano itaisha lini aiseee
  9. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Msaada biashara ya kuuza na kunua bia kwa bei ya jumla

    Mkuu unaweza kuwa supplier Wa eneo kutoka Kwa authorised dealer, ambapo utatakiwa kuwa na crate binafsi zisizopungua idadi utakayoambiwa, then unanunua mzigo unaletewa mpk sehemu unayouzia. Kwa kila crate unaachiwa faida ya jero, km una mtaji mzuri na mzunguko upo ndio itakulipa Ila kama unauza...
  10. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Kinywaji gani hukupa raha???

    Kitu cha soda mweleka!
  11. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Kinywaji gani hukupa raha???

    We Jamaa kama cyo wa ngara kagera basi itakuwa kwenye mipaka ya huko
  12. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina roho mbaya sana jamani

    Hahahahaha
  13. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Mlio Kanda ya ziwa

    Musoma Sehemu gani mkuu?
  14. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Wapagani wa kale waliabudu Utatu Mtakatifu

    Kwani ukisikia miaka 2000 kabla ya kristo. Unafikiri yesu hakuwepo? Hakuwa amekuja duniani ila tuliahidiwa kuwa atmamtuma mwanae ambaye jina lake ndio hatukulijua. Ila utatu mtakatifu ulikuwepo kwa hiyo wapangani ndio walioiga utatu huo Kwani ukisikia miaka 2000 kabla ya kristo. Unafikiri yesu...
  15. Jt jr

    JamiiForums Tanzania Wapagani wa kale waliabudu Utatu Mtakatifu

    Mkuu hapo siyo kweli maana utapata 3units labda utakosa jina la hiyo jumla nikimaanisha SI Unit. Lakini kiniambia huwezi jumlisha vitu visivyofanana napata wasiwasi kwamba kwako hesabu ndio tatizo
Back
Top Bottom