Asante sana mkuu. Baada ya kufanya kipimo cha MRI mara ya kwanza niliambiwa ni Transverse myelitis lkn baadae nilirudia tena nikaambiwa ni spine thinning (stenosis)Pole sana kijana.
Ikiwa ulipatwa total paraplegia ni mda mrefu umekuwa hivyo ni dhairi mishipa ya fahamu imekwisha athirika.
Sijui ktk struggle yako hitimisho la wataaalamu wa uti mishipa ya fahamu ilikua ni tatizo lipi?
Nimefurahi unapoanza kuitazama hali yako kwa mtazamo wa nje ya box.
Usife moyo mwenye kumiliki mbingu amekuikia na anaijua hali yako.
Vuta subira mlango utafunguka soon
Maombi yangu Mungu akufadhiri mpendwa.
We jamaa mpu.uzi, kweli! sasa bila smartPhone humu JF angefikishaje kilio chake.Umepooza lkn unamiliki smart phone, unatamani kuendesha bjaji.
Asante mkuu,Nimetumia za kuchua ila hizo za kuvukiza badoPole kijana,penye wengi pana mengi! Vumilia tu! Utapata maoni yenye maslahi inshaa Allah. MI nnafanya shughuli ya tiba!Nikuulize "Umewahi kutumia dawa za kujifukiza na kuchua?