Kinachofanyika shinyanga na kwaya ya AIC ni ujinga tu

babalao 2

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
5,423
3,297
Kwaya za makanisa ni mahsusi kwa ajili ya kumsifu Mungu. Je? Magufuli amegeuka kuwa Mungu mpaka afikie hatua ya kutungiwa nyimbo za sifa na kwaya ya kanisa?.

Hii kwaya imetunga nyimbo kadhaa za kumsifu Magufuli mithili ya Mwenyezi Mungu ndo maana mleta hoja roho inataka kuuacha mwili.
 
Leo lazima atoe single mpya kali sana.... ngoja nitafute kiti nisubirie punchlines kali kutoka kwa huyu nguli wa mistali.
 
Hizi sherehe wamezifanya za ccm sasa kila muda ccm hoyeeeee wanachefua kweli
 
Kwaya za makanisa ni mahsusi kwa ajili ya kumsifu Mungu. Je? Magufuli amegeuka kuwa Mungu mpaka afikie hatua ya kutungiwa nyimbo za sifa na kwaya ya kanisa?.

Hii kwaya imetunga nyimbo kadhaa za kumsifu Magufuli mithili ya Mwenyezi Mungu ndo maana mleta hoja roho inataka kuuacha mwili.
Ha ha ha hii inaitwa usiyempenda kaja!
 
Kwaya za makanisa ni mahsusi kwa ajili ya kumsifu Mungu. Je? Magufuli amegeuka kuwa Mungu mpaka afikie hatua ya kutungiwa nyimbo za sifa na kwaya ya kanisa?.

Hii kwaya imetunga nyimbo kadhaa za kumsifu Magufuli mithili ya Mwenyezi Mungu ndo maana mleta hoja roho inataka kuuacha mwili.
Hata Mimi nimejiuliza hivi kwaya ni kiburudisho kwenye mikutano ya siasa nahisi hiyo kwaya ni bongo fleva tuu maana wanavyokata viuno mmmhhh
 
Kwaya za makanisa ni mahsusi kwa ajili ya kumsifu Mungu. Je? Magufuli amegeuka kuwa Mungu mpaka afikie hatua ya kutungiwa nyimbo za sifa na kwaya ya kanisa?.

Hii kwaya imetunga nyimbo kadhaa za kumsifu Magufuli mithili ya Mwenyezi Mungu ndo maana mleta hoja roho inataka kuuacha mwili.
Wewe inakubidi ukapimwe akili kabisa
 
Kwaya za makanisa ni mahsusi kwa ajili ya kumsifu Mungu. Je? Magufuli amegeuka kuwa Mungu mpaka afikie hatua ya kutungiwa nyimbo za sifa na kwaya ya kanisa?.

Hii kwaya imetunga nyimbo kadhaa za kumsifu Magufuli mithili ya Mwenyezi Mungu ndo maana mleta hoja roho inataka kuuacha mwili.
Hawana kosa kama ana maanisha hicho kwani kiongozi kawekwa na Mungu na anaiwakilisha sauti ya Mungu
 
Bavicha wengi wana vuta bangi wakimaliza wanasema kuna baa la njaa kumbe wamesahau kula.
e3b0f5919438900a5bdda37f8c310247.jpg
 
Back
Top Bottom