Usihangaike sana kibonge ingia IG,FB na kwenye mitandao mingine utapata gari kulingana na bajeti yako la kuzingatia tu kuwa makini kuna gari ni kali kwa nje ila ukifatilia utasema uongezee chenji ununue used frm Japan
29yrs bro try to be mature,kama ni kusifia msifie sana, hata kama hajapendeza piga hata miruz,i ita majina yote mazur,i ila usifeli kupiga show kali kali ukiwa naye alafu msikilizie atakuwa anakwambia nn am out...…..
bro siku usafiri wako ,mashamba viwanja na nnamifugo, ukiwa hauna atahamia kwa mwingine,mwache ateseke kwanza ajifunze kuvumilia katika hali zote ila kama unataka kuwa sponser komaa na upendo wako udhani unapendwa kumbe njaa za mwenzio zimemfanya akutafute am sign out kazi kwako.
Mjomba unakwama wapi aiseeeee?? Unawezaje kuhudumia familia nzima kama umeoa? mwache ili afe vizuri wewe umefanywa mgodi wa kutoa pesa na matumizi siku ukiwa huna atakublock kabisa,alafu hata kama X alikuwa anakula Enzi hizo bado anatumiwa na picha? mjomba badilika bhasi achana naye kuna...
Mtumishi wa Mungu baada ya kufananishwa na kibaka ndio ukaona wigi la mrembo baya 😂😂😂😂 mabaharia hatukosagi kasoro tukizinguliwa pole sana baba mchungaji.
Mzee Bullar unakwama wapi aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Yani kukwambia lazima agegendwe ili utulie bado unamg"ang"ania tu? hata kama ulimsomesha ulifanya mengi kwa ajili yake yeye alikuwa kwako sababu ya msaada wako na malipo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.