Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Sipo kwenye ndoa..
Ila nachojua ukiona mwanamke ameshift kutoka kwako kwenda kwa mtu mwingine basi jua uko kunafuraha ya ziada anaipata ambapo kwako haipati

Kwa iyo usiseme kwamba unamridhisha wakati uharisia yuko tayari kugombana au kulivunja penzi lako kwa ajili ya penzi la babamdogo na analpgania wazi wazi tena kwa maneno ya kukuhumiza ili utokomee kwenye penzi lake ,uwaache na babamdogo

Ushauri apo scale ishashuka broo ,kaza moyo pambania maisha yako na mwanao asome shule nzuri ,maisha yako saiv ni wewe na mwanao tu,mapenzi weka pemben ad utapojisikia kuongeza mwingine
 
Mzee Bullar unakwama wapi aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Yani kukwambia lazima agegendwe ili utulie bado unamg"ang"ania tu? hata kama ulimsomesha ulifanya mengi kwa ajili yake yeye alikuwa kwako sababu ya msaada wako na malipo ya msaada wako amekuzalia mtoto lea mwanao tafuta pisi kali zaidi yake hadi maisha yaendelee acha kumlilia mtu asiyekupenda bhana yatamkuta na atakukumbuka hata kama ni miaka kumi itapita mjomba tc me signature boy am out.
 
Mzee Bullar unakwama wapi aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Yani kukwambia lazima agegendwe ili utulie bado unamg"ang"ania tu? hata kama ulimsomesha ulifanya mengi kwa ajili yake yeye alikuwa kwako sababu ya msaada wako na malipo ya msaada wako amekuzalia mtoto lea mwanao tafuta pisi kali zaidi yake hadi maisha yaendelee acha kumlilia mtu asiyekupenda bhana yatamkuta na atakukumbuka hata kama ni miaka kumi itapita mjomba tc me signature boy am out.
mjuba pisi nnayo kula sa hii naona kma huyo bi*ch alinichelewesha kufika nchi ya ahadi
 
Muache tu kwa amani uendelee na maisha yako. Huyo hakuwa mke wako tambua hilo.
 
Kama ulivyo Sema unapenda sana, ni ngumu kumsahau lakini kwa hatua aliyofikia ni bora umuache ikiwezekana uondoke hapo kwanza ni dharau kubwa sana jinsi alivyokujibu na pia kukucheat na babaake mdogo fanya tu ulimsaidia ulivyomsomesha inatosha usiangalie nyuma vingapi umesacrifice kwake angalia future yako na Familia yako pengine inakuhitaji zaidi, wanawake wengi utapata akupendaye mbeleni
 
Hadi sasa broh sijaona ushahidi wako kwa 100% kama huyo mkeo anakazwa na Baba ake mdogo, maneno ya kuambiwa siyo mazuri mkuu, huyo dada ake na huyo mke wako amekwambia maneno hayo ana ushahidi gani? usikute mkuu dada mtu anataka nafasi ya mdogo ake aisee!? [emoji848] , by the way pole sana...tafuta pesa tu mambo yatakaa sawa yote hayo sababu kubwa ni pesa.
 
Pole sana Kaka,mimi sijaoa lakin kwa akili yangu na nnavojua kidini,kijamii hata kimila pia haruhusiwi kulipa kisasi,maana tayr una familia ya mtoto mmja hutakiwi kukua katika mazingira ya majuto kwa kukosa makes ya wazazi wawili calm down pls sikiliza ushauri wa watu lakini sio namna ya kulipa kisasi hawa ni viumbe dhaifu sana
Yaani mnanichekeshaga na hii kauli heti kwasababu nimezaa na mtu ndo nisimwache kwasababu mtoto atapata malez ya pande pande moja.

Nikijua tu meanamke wangu kaliwa sehem kwa mimi binafsi siwezi ishi nae ata tuwe na watoto 6 ntabaki nao na nitawalea wote na kuwahudumia ipasavyo. Mke wako kuliwa na demu wako kuliwa ni vitu viwili tofauti. Mke anauma na hamu naye kimapenzi itaisha kila nikifikiria alivyokua anamzungushia jamaa daah acheni
 
Rais alishasem usisomeshe mwanamke, sio dadaako yule.

pole sana wewe piga moyo konde tafuta kila kitakachomrudisha sio ingine ni pesa. kisha nayeye umtende
 
Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.

In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume. Ingawa mazingira ya kikazi yametufanya tuwe mbali kidogo lakini nmekuwa najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbali sana(sisi ni watu wa Kanda ya Ziwa ki-makazi lakini sio kwetu).

Tatizo limekuja kuna tetesi nilipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee mmoja mwenye umri wa miaka 46. Mbaya zaidi ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwishatalakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita.

Chanzo cha wao kukutana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi huyo mzee akamchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo ukaanzia apo mzee kamrubuni mke wangu kuanza kutoka nae.

Kama mwanzo nilivoeleza, dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nikapuuzia sababu huwa na tabia ya uchonganishi pia huwa mahusiano yetu sio mazuri.

Nilichoamua nikafanya uchunguzi mwenyewe kwa njia zangu ninazozijua nikagundua ukweli. Mimi ni mtu wa IT basi nakaja kugundua hata baadhi ya vitu kama simu, camera, mavazi na pesa mke wangu analeta huwa vinatoka kwa huyo mzee maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu.

Basi tumeenda hivo lakini ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia akaanza kuninyima sex anadai simfikishi wakati namjua vzuri na huwa namfkikisha, kwa hilo sina shaka hata tone.

Nikirudi nyuma kidogo mimi ndio nimemsomesha chuo tangu mwaka wa kwanza mpaka kamaliza na nimegharamika mambo mengi juu yake. Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.

Muda huu na andika post hii mke wangu yupo Dar, nimemuuilza yupo kwa nani hasemi. Nimeumia sana ikabidi niongeee na mama mkwe nikamueleza situation. Akampigia simu mwanae, kilichofuata akanitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua sana nafsi yangu.

Namnukuu "Unampigia simu mama akusaidie nini?, kama nato** si mimi wewe inakuhusu nini? Na nakuapia lazima nit**we huku ili utulie."

Imeniuma sana mpaka sasa moyo wangu umefunga siwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mimi asingekua hapo alipo leo" Nimejizuia sana kulipa kisasi nimeshindwa ukizingatia familia yao nimeibeba sana kwa mambo mengi.

Nikumbushe kitu, ukwel ni kwamba nilikuwa sijatoa mahari mpaka sasa ingawa tuliishi nae kama mke na mume. Lakini mpango ulikua mwezi huu na nilikua nimekwisha andaa kila kitu. Hata nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazee.Nina mengi nimeyaruka kuyaeleza maana mimi si mwandishi mzuri. Natamani ningemsimulia mtu aandike.

Naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kama yapo ila kama nitapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi.

Asanteni
kawaida kwa hawa wanawake hakuna jipya
 
Hadi sasa broh sijaona ushahidi wako kwa 100% kama huyo mkeo anakazwa na Baba ake mdogo, maneno ya kuambiwa siyo mazuri mkuu, huyo dada ake na huyo mke wako amekwambia maneno hayo ana ushahidi gani? usikute mkuu dada mtu anataka nafasi ya mdogo ake aisee!? [emoji848] , by the way pole sana...tafuta pesa tu mambo yatakaa sawa yote hayo sababu kubwa ni pesa.
Mkuu dingi alikua ana kula mzigo japo ni story ya zaman ila mambo yamekuja kua hadharani juzi kati hapo
 
Back
Top Bottom