Hii story imemtokea mwenzetu humu

Hii story imemtokea mwenzetu humu

Heading, 'Maisha na Mapenzi'. Watu tunawekeza kwenye biashara, wengine wanawekeza kwenye mapenzi.
 
Hakunaga demu mwanachuo ambae atakuwa na mwanaume mmoja,we hushangai demu mzuri kafika chuo first year unamtongoza anakubal na anakudanganya kuwa yupo single wakat huko kwao kawaacha vdume watatu
 
Jamaa anasoma na demu wake chuo huko Kigamboni jana ndio ilikuwa aondoke aende likizo maana wamemaliza mtihani wakaagana na demu jamaa akasepa mida ya saa kumi jioni. Demu ni mtu wa Chuga imefika mida ya saa moja jamaa akarudi akasema kakosa usafiri wa kumfikisha feri akamcheki demu wake ili ampe taarifa, kupiga simu hapatikani mpaka mida ya saa nne akaenda kulala akijua labda demu kalala.

Imefika asubuhi mida ya saa moja anapigiwa simu na demu wake kupokea kinaongea kidume jamaa akaweka loudspeaker kidume kinadai ni demu wake na muda huo wapo lodge jamaa haamini akazima palepale daaaah! Wahuni hatuamini kwanza demu huwezi mdhania ila jamaa mpaka sasa hivi bado haamini na ukicheki ni couple ya mfano na jamaa ni moja ya watu peace sana hana makuu ila katendwa na mtu ambaye dah!
Hakuna shingo ngumu mbele ya kisu kikali, kuwa peace, sijui shabibi, sijui manashati huna ela na demu anataka aende na trend lazima atafunwe tu.
 
mkuu mshauri atafute madem mtaani kuna pisi kali tu watoto wa chuo fantasy nyingi watamuua kwa presha alafu kama aliishapiga kwanini roho imuume
 
Wewe una nafuu. Mimi alinikorofisha kisa alihisi natoka na rafiki yake mrembo zaidi. Aliponifokea nikwamjia juu asinipande kichwani, jioni nikashtukia anampost mwanae mwenye miaka kama minne ambaye sikuwa namjua kabisa, akampost baba wa mtoto ni mjeda[emoji22].

Kumbe nilikuwa baba wa kambo wakati sijawahi hata kusingiziwa mimba, nikala kona hadi muda huu tupo field siongei nae. Aliomba msamaha eti yule ni mwanae ila hana mahusiano na baba yake.
 
Jamaa anasoma na demu wake chuo huko Kigamboni jana ndio ilikuwa aondoke aende likizo maana wamemaliza mtihani wakaagana na demu jamaa akasepa mida ya saa kumi jioni. Demu ni mtu wa Chuga imefika mida ya saa moja jamaa akarudi akasema kakosa usafiri wa kumfikisha feri akamcheki demu wake ili ampe taarifa, kupiga simu hapatikani mpaka mida ya saa nne akaenda kulala akijua labda demu kalala.

Imefika asubuhi mida ya saa moja anapigiwa simu na demu wake kupokea kinaongea kidume jamaa akaweka loudspeaker kidume kinadai ni demu wake na muda huo wapo lodge jamaa haamini akazima palepale daaaah! Wahuni hatuamini kwanza demu huwezi mdhania ila jamaa mpaka sasa hivi bado haamini na ukicheki ni couple ya mfano na jamaa ni moja ya watu peace sana hana makuu ila katendwa na mtu ambaye dah!
Ndio madhara ya kuchukua mademu wa ccm. Hao watu sio waaminifu hata kidogoo
 
Ushauri wangu kwake ni kuwa atafute pesa na mengine yatamfuata bila shida.Mpenzi wangu niliyesoma naye A-Level ,baada ya kuhitimu tulikuwa tynawasiliana vizuri tu,baadae yeye matokeo yake haya kumruhusu kwenda chuo kikuu ikabidi akasome diploma ya ualimu miaka miwili

Muda wote huo tulikuwa tunawasiliana vizuri tu,alipoajiliwa wakati mimi nikiwa bado nasoma akajua tayari mimi nimzigo kwake,hivyo akaanza kujitenga na Mimi,nami sikuwa na hiana nikasema let her go.Hivyo nikawekeza muda na nguvu zangu katika kusoma na kutafuta pesa
Dah story yako kama mm alienda Certificate wkt mm naenda form five so wkt mm naingia chuo yeye akaajiriwa

Akanipotezea kbs, saiv ana watoto wawili wa baba tofauti eti ndo ananitaka

Shubamiti
 
Jamaa kazima???????????? Kisa kusikia dem analiwa na baharia mwingine angefumania je??????
 
Jamaa anasoma na demu wake chuo huko Kigamboni jana ndio ilikuwa aondoke aende likizo maana wamemaliza mtihani wakaagana na demu jamaa akasepa mida ya saa kumi jioni. Demu ni mtu wa Chuga imefika mida ya saa moja jamaa akarudi akasema kakosa usafiri wa kumfikisha feri akamcheki demu wake ili ampe taarifa, kupiga simu hapatikani mpaka mida ya saa nne akaenda kulala akijua labda demu kalala.

Imefika asubuhi mida ya saa moja anapigiwa simu na demu wake kupokea kinaongea kidume jamaa akaweka loudspeaker kidume kinadai ni demu wake na muda huo wapo lodge jamaa haamini akazima palepale daaaah! Wahuni hatuamini kwanza demu huwezi mdhania ila jamaa mpaka sasa hivi bado haamini na ukicheki ni couple ya mfano na jamaa ni moja ya watu peace sana hana makuu ila katendwa na mtu ambaye dah!
hahahaahaha.... hatari sana
 
Huo ndio ukubwa

Kama umeshtuka kisa kuzimia
Nakukumbusha tuu hata walevi wanazimiaga
 
Wewe una nafuu. Mimi alinikorofisha kisa alihisi natoka na rafiki yake mrembo zaidi. Aliponifokea nikwamjia juu asinipande kichwani, jioni nikashtukia anampost mwanae mwenye miaka kama minne ambaye sikuwa namjua kabisa, akampost baba wa mtoto ni mjeda[emoji22].

Kumbe nilikuwa baba wa kambo wakati sijawahi hata kusingiziwa mimba, nikala kona hadi muda huu tupo field siongei nae. Aliomba msamaha eti yule ni mwanae ila hana mahusiano na baba yake.
Wanawake watawauwa nyie.
 
Back
Top Bottom