Ungekuwa wewe ungefanyaje au ungejibuje kwenye hili?

Daaah .. ila jioni nitamwambia kuwa namkubali sana na mzuri mnoo. Ila mambo ya kuniletea kila habari huo utoto unanikera
Ni sahihi pia mkuu unaweza kumuonyesha msimamo wako katika hilo ila nafikiri kumsifia kila Mara ni tiba tosha maana ukifanya mchezo atakuficha mengi, Bora huyo anaropoka utakua unajua baadhi ya vitu kumhusu hivyo utajua Ni sahihi kwako au laa!
 
Simply because wewe humsifii wala kuonesha kufurahishwa na yy alivyo. Inaweza kuwa uongo ili akufumbue macho kuwa kumbe ni mzuri eee. Japo sio njia nzuri
 
Habarini za mchana huu wadau wa jamvi letu pendwabla MMU, natumaini mu wazima wa Afya na mnaendelea pilika pilika za kujitafutua ridhiki.

Asee kuandika udhibnahitaji mawazo na michangi yenu kwenye mkasa ufuatao. Mimi ni kijana wa Kiume (29) nina mpenzi wangu (She is 23). Eee bhana, huyu mpenzi anakitabia binafsi mimi sikipendi leo nimeamua kumwambia ili nisiendelee kuwa naumia au naudhika.

Mwenzangu huyu huwa anapokuwa anasifiwa na wanaume huko mtaani, atapiga simu ananiambia mara “leo babe nimesifiwa na mwanaume eti nina hips na shape nzuri”. “Mara leo hii nimeambiwa na mwanaume nimependeza sana “ Mara oooh l”eo nimeambiwa ni mzuri kweli na Mwanaume”

Sasa leo kaja kwenye normal text tukiwa tunachati vitu tofauti tofauti, sasa mara naambiwa Babe ninaubuyu, nikamwambia una ubuyu? Ngoja nikupigie nisikie huo Ubuyu. Kumpigia simu, anachokuja kuniambia, nikiwa natembea njiani kuna mwanaume kanisifia eti “dada umependeza kweli” Nikajibu sawa nikawa nimemaliza na mood yangu. Nikamuuliza mambo mengine? Ili niachane na hiyo habari. Na kwenye text ikawa hivi.
Huyo manzi yupo darasa la ngapi? Tuanzie hapo kwanza
 
Sakata lako linataka kufanana na la kwangu japo kwa mbali na mm ilikuwa ck moja tu,nilikuwa na babe tunatembea kwenye mizunguko maeneo flan hv then nikaishiwa salio nikamwambia babe akadroo pesa kwenye atm,so wakat anaenda njian akakutana na mr misifa dully sykes wakiwa kwenye ndinga lao na mshikaj wake,mara akamstua manzi yangu then c unajua wanawake kuona star vile akapagawa akaenda jamaa likaanza kumdanganya bhana nmekupenda na nn nataka tufanye video moja nmeona utafaa kwel,manz kuona vile akawa kapagawa kwel yaan anataka atoe namba kwel,kumbuka mm niko kwa mbali namuona kasimama Kwenye ndinga,ikabid nimpigie na kumuuliza mbona umesimama hapo ndo akili ikamrudi sasa akachomoka bila kutoa namba,cha ajabu sasa yeye ndo akaja akawa ananimbia huku kakenua meno kuwa alikuwa duly sijui na nn,mm nikaweka uso wa mbuzi halaf nikamzodoa na kumwambia hapo cha ajabu ni kipi,nikaanza kumponda kwel kuhusu ile ishu yaan sikuoneshwa kufurahia,alinywea kwel yaan!na akaanza kujialaumu mwenyewe
So hapo mkuu ww muoneshe wazi wazi kuwa hufurahishwi na hilo jambo na umzodoe ama hakika ataacha very soon kufanya ujinga
Japo wanawake wanapenda kusifiwa sana hata kama hzo sifa ni za uongo,na ww mkuu jitahid kumsifia manz yako pengne ww humsifiag

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Ni sahihi pia mkuu unaweza kumuonyesha msimamo wako katika hilo ila nafikiri kumsifia kila Mara ni tiba tosha maana ukifanya mchezo atakuficha mengi, Bora huyo anaropoka utakua unajua baadhi ya vitu kumhusu hivyo utajua Ni sahihi kwako au laa!

Namshukuru Mungu amenielewa.! Kama kusifia nasifia kinoma jombaa.! Hadi siku moja akaniambia wewe unanisifiaga hata kama sijapendeza lakini mie hukazia pale pale kuwa kawaka ile..! Mara namwambia babe unashape hadi natamani nikutongoze upya asee mshikaji wangu. Kiujumla tunaishi mahusiano kama best friends ila sema hako katabia kake kakutopoka ndio nilikuwa sijawahi mwambia.
 
Sakata lako linataka kufanana na la kwangu japo kwa mbali na mm ilikuwa ck moja tu,nilikuwa na babe tunatembea kwenye mizunguko maeneo flan hv then nikaishiwa salio nikamwambia babe akadroo pesa kwenye atm,so wakat anaenda njian akakutana na mr misifa dully sykes wakiwa kwenye ndinga lao na mshikaj wake,mara akamstua manzi yangu then c unajua wanawake kuona star vile akapagawa akaenda jamaa likaanza kumdanganya bhana nmekupenda na nn nataka tufanye video moja nmeona utafaa kwel,manz kuona vile akawa kapagawa kwel yaan anataka atoe namba kwel,kumbuka mm niko kwa mbali namuona kasimama Kwenye ndinga,ikabid nimpigie na kumuuliza mbona umesimama hapo ndo akili ikamrudi sasa akachomoka bila kutoa namba,cha ajabu sasa yeye ndo akaja akawa ananimbia huku kakenua meno kuwa alikuwa duly sijui na nn,mm nikaweka uso wa mbuzi halaf nikamzodoa na kumwambia hapo cha ajabu ni kipi,nikaanza kumponda kwel kuhusu ile ishu yaan sikuoneshwa kufurahia,alinywea kwel yaan!na akaanza kujialaumu mwenyewe
So hapo mkuu ww muoneshe wazi wazi kuwa hufurahishwi na hilo jambo na umzodoe ama hakika ataacha very soon kufanya ujinga
Japo wanawake wanapenda kusifiwa sana hata kama hzo sifa ni za uongo,na ww mkuu jitahid kumsifia manz yako pengne ww humsifiag

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app

Nakasifiaga sana yani acha tu.! Ila nitaongeza bidii yani
 
Habarini za mchana huu wadau wa jamvi letu pendwabla MMU, natumaini mu wazima wa Afya na mnaendelea pilika pilika za kujitafutua ridhiki.

Asee kuandika udhibnahitaji mawazo na michangi yenu kwenye mkasa ufuatao. Mimi ni kijana wa Kiume (29) nina mpenzi wangu (She is 23). Eee bhana, huyu mpenzi anakitabia binafsi mimi sikipendi leo nimeamua kumwambia ili nisiendelee kuwa naumia au naudhika.

Mwenzangu huyu huwa anapokuwa anasifiwa na wanaume huko mtaani, atapiga simu ananiambia mara “leo babe nimesifiwa na mwanaume eti nina hips na shape nzuri”. “Mara leo hii nimeambiwa na mwanaume nimependeza sana “ Mara oooh l”eo nimeambiwa ni mzuri kweli na Mwanaume”

Sasa leo kaja kwenye normal text tukiwa tunachati vitu tofauti tofauti, sasa mara naambiwa Babe ninaubuyu, nikamwambia una ubuyu? Ngoja nikupigie nisikie huo Ubuyu. Kumpigia simu, anachokuja kuniambia, nikiwa natembea njiani kuna mwanaume kanisifia eti “dada umependeza kweli” Nikajibu sawa nikawa nimemaliza na mood yangu. Nikamuuliza mambo mengine? Ili niachane na hiyo habari. Na kwenye text ikawa hivi.
Hujaelewa nn hapo?, lini ilikuwa mara ya mwisho wewe kumsifia huyo mpenzi wako?
 
Namshukuru Mungu amenielewa.! Kama kusifia nasifia kinoma jombaa.! Hadi siku moja akaniambia wewe unanisifiaga hata kama sijapendeza lakini mie hukazia pale pale kuwa kawaka ile..! Mara namwambia babe unashape hadi natamani nikutongoze upya asee mshikaji wangu. Kiujumla tunaishi mahusiano kama best friends ila sema hako katabia kake kakutopoka ndio nilikuwa sijawahi mwambia.
Sasa Jana ulipomwambia ameelewa si ndio!!??
 
Habarini za mchana huu wadau wa jamvi letu pendwabla MMU, natumaini mu wazima wa Afya na mnaendelea pilika pilika za kujitafutua ridhiki.

Asee kuandika udhibnahitaji mawazo na michangi yenu kwenye mkasa ufuatao. Mimi ni kijana wa Kiume (29) nina mpenzi wangu (She is 23). Eee bhana, huyu mpenzi anakitabia binafsi mimi sikipendi leo nimeamua kumwambia ili nisiendelee kuwa naumia au naudhika.

Mwenzangu huyu huwa anapokuwa anasifiwa na wanaume huko mtaani, atapiga simu ananiambia mara “leo babe nimesifiwa na mwanaume eti nina hips na shape nzuri”. “Mara leo hii nimeambiwa na mwanaume nimependeza sana “ Mara oooh l”eo nimeambiwa ni mzuri kweli na Mwanaume”

Sasa leo kaja kwenye normal text tukiwa tunachati vitu tofauti tofauti, sasa mara naambiwa Babe ninaubuyu, nikamwambia una ubuyu? Ngoja nikupigie nisikie huo Ubuyu. Kumpigia simu, anachokuja kuniambia, nikiwa natembea njiani kuna mwanaume kanisifia eti “dada umependeza kweli” Nikajibu sawa nikawa nimemaliza na mood yangu. Nikamuuliza mambo mengine? Ili niachane na hiyo habari. Na kwenye text ikawa hivi.
Hao watoto tuachieni sisi watoto wenzao.
 
Utoto tu unamsumbua. Ngoja afike 27, ataacha huo upuuzi
 
Mwoe awe mke. Mzalishe ili akili ikue. Halafu muwekee geti kali. Kama hauko tayari kumfanya mke au kuanzisha naye familia, basi ACHANA NAYE. Ni kwa nini watu mnakaa na mpenzi anayekukwaza kila siku??? Stress is not good for your health. Huyo kama haumpi hela ya kutosha, atagawa huko nje ili apewe hela, vitu, na zawadi. Good luck!
 
29yrs bro try to be mature,kama ni kusifia msifie sana, hata kama hajapendeza piga hata miruz,i ita majina yote mazur,i ila usifeli kupiga show kali kali ukiwa naye alafu msikilizie atakuwa anakwambia nn am out...…..
 
Wanawake au mademu wazur hyo ndo kawaida yao,akil zao zote zpo kwenye hips na yako,hata mim demu wangu huwa aktoka huwa anakuja kunisimulia jins wanaume walvyo kuwa wanamshangaa na kumsifia,mwanza nilikuwa nazan syo kwel ila ishatokea kama Mara mbili nikiwa nae tunapta walipo wanaume nkawa naona vdemu vnaduwaa na wengne niliwah kuona wanapga miruz ndo nkaamin
 
Wala usiwaze sana uyo bado msichana akishakuwa mwanamke atajitambua bado ananuka maziwa ya ng'ombe wewe kuwa na amani tu
 
Ebu weka picha yake tuone kama kweli mzuri

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

IMG_3256.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom