Kibomba cha maji ndiye adui mpya wa mahusiano yetu

Shenzi kabisa naenda toa ile shower,anzia leo ni kuoga kwa kikombe au Kopo....

sitaki ujinga mimi,ndio mana mtu ratiba za kwenda chooni kunya zimeongezeka siku hizii....

naenda funga Koki za kawaida kote,subiri nirudi tusitaniane kumbe naishi na adui angu bafuni asee....
 
si bora hicho kuliko achepuke na limtu
 
Back
Top Bottom