Baada ya kuwa nimechapwa na life after uni, Mungu ni nani?.After kuapply huku na kule plus interview kadha wa kadha. Mbingu zikafongoka nikapata ka mchongo. Si kwamba sikuwa na vimchongo ila vilikuwa ile part time job (pesa ya maji). Hii ikawa official mixer macontract.
Tayari nilikuwa...
Karma ya watani wa jadi,
Karma is what?... Usimalizie bwana wapo watoto underage humu ambao matusi hayapaswi kuwa sehemu ya ukuaji wao.
Hivyo wacha turejee nyuma tuone ni kwanini wanazuoni waliona huo msemo unafaa...
Leo niko kijiwe cha kirumba sokoni, basi bwana wacha turejee mpaka mwaka...
Uko zako unaumwagilia moyo kwenye siti za nyuma kabisa ndani ya pub ya kitaa....
Wanaa wasikusome si unajua hawachelewi kuzusha kuwa wewe ni Freemason. Kumbe unajipooza na machungu ya siku nzima.
Mara ghafla bin vuu inaingia ile pisi kali ambayo kila siku maombi yako ni kuonana nayo face to...
Hivi ilikwisha kukutoke hii...
Umekutana na pisi ukaimba fresh nayo ikasaini barida ila baadae unakutana na breking news kuwa ni mke wa mtu. Mbaya zaidi si mtu tu bali mwanao kabisa..
Situation hii ilinipata nikiwa Musoma mjini mitaa ya Nyakato. Kwanini nilifika hapa ni story ndefu ambayo...
• Mejja - Landlord
Kwenye hili song kutoka 254 hakuna chochote kinacho endana na story..
Ila kwa kuwa nimeisikia kwa dereva bajaji hapa basi imenikumbusha 2015. Experience ya kupanga kwa nyumba ya wenyewe huku Landlord akiwa kichefuchefu. KWANINI?!!
#NYIMBOnaMATUKIO
Around hiyo miaka...
• Ace hood-hustle
Mama need house,
Babe need some shoes
Hustle, hustle hard!.. hustle, hustle hard!
Hakaika kila niisikiapo nyimbo hii ni lines hizo ambazo naweza kuziimba kwa sauti ya juu. KWANINI?!!
#NYIMBOnaMATUKIO
Around 2013 kipindi hiki nilikuwa na babe fulani ambayo hatukuwa serious...
#03
Nikiwa nafanya usafi wa ufagiaji wa kiwanja cha nyumbani kwa kuwa palikuwa mlimani na niliweza kuwaona wote walikuwa na safari za kuja nyumbani kabla hawajafika. Nikaona kuna kakikundi fulani ambako jazba ilijaa vifuani mwao, ilikuwa ni rahisi kugundua na haikuitaji akili za ziada. Mwendo...
#02
Jahazi lilizidiwa kabisa shehena na kuzama nikiwa kidato cha nne. Wimbi la pepo la ngono likaniandama na kunifanya niwe mraibu kwani nisingeweza kupitisha wiki sijalala na mwanafunzi wenzangu au binti wa makamo yangu. Hali hiyo ikashamiri huku mtu wa kukemea wala hakutokea na matokeo yake...
Makaburi yamezika ndoto nyingi, ndio! wala sina uwezo kulikataa hilo ila tu ninalo la kuongezea kwenye hilo. Kama ilivyo kwa makaburi pia mapenzi nayo yamechangia sehemu nyingine kubwa ya kuzika ndoto za watu wengi. Nasema haya nikiwa muhanga na si mhamasishaji.
Naweza kusema maisha ni fumbo...
Gangster shit!, I remember when I was on the foolish age. Hizi enzi Rock City ilivamiwa na kawimbi fulani ka mageng utadhani ilikuwa south American. Kila street kulikuwa na gang, sio kama hizi za kina konde and others right now. Nazungumzia hapa ni zile geng za kukinukisha. People are loose...
Hakuna kazi ngumu kama kuukubali ukweli!. Hapa nilikuwa nalia na maumivu baada ya kuwa nimepigwa kibuti na pisi ya kwenda ya UDBS. Sikujui mapenzi kama yanatesa hivi;
Niko zangu kigamboni nimetulia mageto sina hili wala lile maisha yangu yapo yapo tu kama bendera. Kalikuwa ka kipindi kagumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.