josephdeo
Member
- Nov 23, 2015
- 96
- 208
- Thread starter
- #21
Gangster shit!, I remember when I was on the foolish age. Hizi enzi Rock City ilivamiwa na kawimbi fulani ka mageng utadhani ilikuwa south American. Kila street kulikuwa na gang, sio kama hizi za kina konde and others right now. Nazungumzia hapa ni zile geng za kukinukisha. People are loose their mind for real.
Around 2010 hivi ndipo hizi tabia zilishamiri mno ndani ya jiji hili la miamba. Kipindi hiki mzee wa Msoga anautaka urais for the second time.
Nature create us right!, So nikatakiwa kuact like gangster ili tu niwe protected/ kusurvive. Uonevu ulikuwa mkubwa mno kwa kipindi hiki mpaka wengine walipoteza maisha. Mwili wangu mnaujua so punguza miaka kadhaa kisha punguza lishe kidogo plus msoto wa school na hapo utapata picha halisi ya how I was. Let cut the bullshit about motivation speaker things and go through the story.
So, kitaa kulikuwa na pisi unaweza kumuita Miss wa mtaa. Yes alikuwa miss coz geng nzima plus machalii wakitaa wote walikuwa wakitoa macho. Alikuwa moto kinoma ile black beuty ya kwenda mfano wa mh.
DC wa Kinondoni, ila alikuwa binti maringo. Hakuna aliye fanikiwa kumpata licha ya wana kushoot their shot. Wengine wakitumia SMG, AK47 mpaka RPG ila misheni ilikuwa impossible.
The girl aliset standard na kweli aliweza kuimaintain, Mimi sikuwa kati ya wapambaniaji wa ukombozi chini ya mkoloni mweusi. Kwa sababu yule demu alikuwa mkubwa kwangu ila fisi niliitaka minofu pia.
Baada ya mkwamo wa mashambulizi yale. Ukaundwa mpango mkakati kwa kuzingatia itifaki. Hatukuwa na gang kubwa kwani Nyakato sokoni ilikuwa nusu ushua nusu uswahili. Hivyo magang yetu ya huku hayakuwa Kama ya maeneo mengine ya kiswahili pasee.
Ambition was to get closer to her, we decide kuwa mmoja kati ya member wa gang ajisogeze kwake. Akiwin kutengeneza mazoea ya ukaribu then tunarescue our plan. Plan ilikuwa ni kumla collaboration, yaani tushare wote wana kitaa tupeane featuring. Mipango ikawa complete tukawa tunasikilizia time ifike tuweze kuapply live and direct kando na yale makaburi enzi hizo hakuna mob la nyumba kama sasa.
I was intelligent sio kushinda wote ila kuwashinda wengi and a lot of experience kumkichwa. Hii ni baada ya kufanikisha kwa kiwango cha SGR kwa misheni za gang hapo nyuma (zilikuwa misheni uchwara tuachane nazo, ila huko mbele nitashare kama itanipendeza all in all ni teenager things).
Usimamazi wa mpango mzima nilikabidhiwa mimi huku jukumu la kumsogelea akipewa Salum (light skin niga). After two months we are ready to use our plan, so tukakutana kupeana brief za hapa na pale kabla ya siku ya tukio. Nakumbuka ilikuwa kwenye kiwanja kilichotizamana na ile NYAKATO VTC. Baada ya brief za hapa na pale tukatawanyika huku kila mtu akipewa jukumu lake.
Kuna fala mmoja wacha hata nisimtaje coz kila nikikumbuka huyu mjinga alivyokitia mchanga kitumbua nizidi kumumind. Acha na kukwamisha mchongo wenyewe ila kilichonikuta pia ndio kinanifanya nimchukie zaidi ms**nge yule.
Wacha tumuite fala coz anadeserve kabisa, huyo fala si akatoka na kwenda kuvujisha info kwa muhusika (yaani ile pisi). Akaorodhesha na majina yetu ili kujichukulia pointi tatu muhimu.
Sina hili wala lile nimechill na babu tunakula stori moja mbili hakuwa maji hivyo tulikuwa tukielewana. Mara nashangaa ka kikundi fulani utasema people power wameitisha maandamano kanaingia viwanja vya maskani. Huku wakitamba zaidi hata ya Aslay.
Shit kwa mbali si walikuwepo na madem wa mtaa, unajua vyema kuwa pisi kali always lazima iwe na rafiki yake fulani kwa sababu zake tu anakuwa na sura personal. Na hao ndo macontroller wa hizi pisi kali. Ilikuwa hivyo hata kwa hii pisi ilikuwa na rafiki yake ambaye hata tuseme hakuwa na sura ya baba yake coz namjua baba yake na hakuwa na sura mbaya Kama yake.
Huyo ndo alishika bango sasa utadhani yeye ndo tulimtaka. Mimi pekee ndo nilikuwa mdogo kwenye gang plus Sina mwili. Hivyo yule miss wa mtaa na gang lake alilokodi akatake advantage ya vitu hizo na kunitaka Mimi ni address mpango mzima kwake tena kwa kukwida na kelele nyingi.
Wazee nilining'nizwa kwa mikono miwili kwani nilitosha vyema Kisha nikawekwa kwenye ukuta wa nyumba yetu wenye cheeping (zile lipu za vinundu nundu). Imajini mwanaume nilining'nizwa pale huku napigwa na maneno ya kile kikundi kilichofika pale. Ilikuwa noma sana kwani Sina cha kuongea si unajua ukiwa snich basi wauni wanakuona kama snake na always snake Ni lazima akanyagwe chini (hata kwenye biblia imesema).
Sikutaka kuwa snake hivyo nikakaza huku sasa nikataka kujipapatua, nikimchek babu ni kama aliniambia nisiwe mzembe kiwango kile niliaibisha ukoo (wasukuma sisi sio wazembe). Hivyo nikajipapatua kwa kuipangua mikono yake iliyonifanya miguu isikanyage vyema chini. Ile kupangua ile mikono uso kwa macho nikakutana na ile pisi mbovu kwani ile pisi kali ni kama ilipepesuka na kupisha njia msukuma nipite.
Haikuishia kwenye sura mbaya tu, she was strong enough to slap me na nikaziona nyota kadhaa na mbigu ikiwa usawa wa paa la nyumba. Hakutosheka akanikwida yeye sasa we si Bora hata ningekutana na Mwakinyo. Ile push nilipewa nikaurudia ukuta nao ukanipokea bila hata pole Kisha ukanirudisha kwa watesi wangu. She take me and tukatizamana kama mabeberu ya mbuzi. Kisha ikaniweka kichwa kimoja matata kiasi kuisi Sina tena komwe.
Nikaweka mkono kuhakiki Kama kweli komwe lilibaki au liliondoka na kichwa cha ile pisi mbovu. Nilipohakikisha kuwa lilibaki nikamind na kuona ni heri kufa nimesimama kuliko kupiga magoti (shetani was on duty). Kwani kama Mungu asingemruhusu shetani awe zamu Basi nisingeweza kupata wazo lile bovu la kupambana na ile pisi.
Nikarusha ngumi si ikampalaza (haikumpiga) juu kidogo karibu na titi, we akaja na makofi kama kapandwa na mruhani (nilimwaga petrol kwenye mto kwa malengo ya kuuzima). Ujuzi wa kuyapangua sina hivyo nikajikunyata tu yote yakiniishia mgongoni na kichwani. Ilikuwa vurugu haswa ni kama ugonvi ukawa kati yangu na ile pisi mbovu na ilinicharaza kweli. Nilikula kichapo kiasi ambacho babu aliona atanipoteza na kuingilia.
Fun thing baada ya lile tukio ni kuwa nilihudumiwa na kupona kabisa na ile pisi kali. Huku yule mwana aliyevujisha mchongo akionekana ni snitch na tulimkata jina kama wajumbe wa kamati kuu.
Sent using Jamii Forums mobile app

SIKU HIO NILICHELEWA KIDGO KUFIKA AIRPORT
.SO NILIFIKA NIKAFANYA CHECK IN HARAKA HARAKA TU NIKASONGA MBELE WAITING AREA.
NILISHTUKA NIKAJUA WAMEKAMATA BANGI KWENYE BAG ZANGU
NILIOGOPA SANA.
NIMEKAA MARA IKATOKEA PISI MOJA YA MOTO SANA IKANIAMBIA WE NDO VICTOR?NIKAKUBALI HUKU NAOGOPA
YULE DADA AKANIPA KITAMBULISHO AKASEMA I BELIEVE THIS IS YOURS
KUMBE WAKATI NINA PROVE IDENTITY NIKAWA NIMEDONDOSHA ID YANGU YA CHUO

sababu chuo hakueleweki.Nikatoka zangu chapuu klass nikasogea kudeliver mali mitaa ya NIT pale.
That day kulikua na kimvua flani hvii so nikaona hii ni fursa wacha nisogee ghetto kwake due to the cold weather maybe naeza kupewa chochote kitu 
sababu ya good customer care
(JAPO KUA MWANANGUU @haulay_97 na @kuzabussines wanasema mteja Hatongozwi)

) basi nikamsifia it’s a beautiful name akasmile.Baada ya muda ghafla tu naona mtoto ananirembulia🥲
Akajibu I can’t breathe properly
mnyama nikajikua nacare kweli nikamwambia driver kwa ukali ebu zima ilo AC
kufika mgeni nikapewa juice tukakaa kwa couch pale and we talked alot na giza likaiingia so nikawa naaga nataka kuondoka manzi akasema nisubiri aagize msosi tule then niondoke 
mnyama nikajibu it’s nothing 