Visa hivi sio vyenye mfuatano bali ni matukio yenye kujitegemea #02
SIKU MOJA NILIKUA NA SAFARI YA MWANZA TO DAR,SPONSA AKASEMA NILE MWEWE[emoji3575]SIKU HIO NILICHELEWA KIDGO KUFIKA AIRPORT[emoji28].SO NILIFIKA NIKAFANYA CHECK IN HARAKA HARAKA TU NIKASONGA MBELE WAITING AREA.
KATIKA PIRIKA PIRIKA NIKASHANGAA WANANITANGAZA KWENYE SPEAKER ZAO[emoji15]NILISHTUKA NIKAJUA WAMEKAMATA BANGI KWENYE BAG ZANGU[emoji24]NILIOGOPA SANA.
BASI NIKASOGEA PALE SEHEMU YA MWISHO YA UKAGUZI NIKAWAAMBIA MIMI NDO VICTOR,WAKANIAMBIA NIKAE PALE NISUBIRI KIDGO[emoji31]NIMEKAA MARA IKATOKEA PISI MOJA YA MOTO SANA IKANIAMBIA WE NDO VICTOR?NIKAKUBALI HUKU NAOGOPA[emoji22]YULE DADA AKANIPA KITAMBULISHO AKASEMA I BELIEVE THIS IS YOURS[emoji848]KUMBE WAKATI NINA PROVE IDENTITY NIKAWA NIMEDONDOSHA ID YANGU YA CHUO[emoji28].NIKAIPOKEA NIKAMWAMBIA ASANTE THEN NIKAPITA HIVI.[emoji1428]
SASA WAKATI NAINGIA KWENYE[emoji3575]MLANGO WA NYUMA ALIKUEPO TENA UYO DADA SHE WAS VERY FINE GIRL IN DEED[emoji28] (kama yule wa ifm alisababisha mwananguu @jid akataka kujirusha kwa ghorofa)NIKASEMA WACHA NIJIDAISHE SIJUI SEAT YANGU ILIKO ATLEAST NIPATE KUSEMA NAE KIDGO.AKANIELEKEZA NIKAENDA KUKAA BHANA.WAKAFANYA YALE MATANGAZO YAO THEN NIKAONA ANAENDA KUKAA KULE NYUMA.JUU MORNING FLIGHT HAZINA WATU WENGI MANY SEATS WERE EMPTY SO I ASKED IF I COULD SIT KULE NYUMA NA YEYE SHE AGREED.NIKASWITCH SEATS AND WE TOOK OFF[emoji3575]
I enjoyed the journey for very few minutes (juu kukaa besides yeye na story za hapa na pale)
But Everything changed walivoamka na kuanzia kugawa snacks[emoji24][emoji174][emoji174]
Alienda kuanza kugawa kule mbelee akaonana na a rich dude imevimba pale first class [emoji16][emoji16]after seeing him all I can say she never saw me the same again 🥹🥹basi kushuka dar akaniambia tu goodbye ya juu juu boychild nikahepa kichwa chini🥹[emoji174][emoji1428]
Fast forward kufika dar life likaendelea fresh tu
Mimi na mishe zangu hapa na pale Unyama
One day nikiwa class nikaona notifications kwa instagram,Kuna mteja anahitaji socks na Tshrts pamoja na sweta amsurprise boy wake so akasema nimchagulie vitu kali coz alkua anataka Boy wake afurahi so ikabidi nidoji kipindi ili kufata ela[emoji383] sababu chuo hakueleweki.Nikatoka zangu chapuu klass nikasogea kudeliver mali mitaa ya NIT pale.[emoji1428]
Kufika NIT bhana yule manzi akasema hayupo chuo bado yupo Ghetto kwake anajiandaa kuja chuo so akanipa options nimsubiri pale chuo au nisogee ghetto kwake[emoji23]That day kulikua na kimvua flani hvii so nikaona hii ni fursa wacha nisogee ghetto kwake due to the cold weather maybe naeza kupewa chochote kitu [emoji76][emoji160] sababu ya good customer care[emoji23]lengo kubwa ni Customer satisfaction ili awe More than a Customer[emoji23][emoji1487](JAPO KUA MWANANGUU @haulay_97 na @kuzabussines wanasema mteja Hatongozwi)
Nikaanza safari ya kusogea mtaa wapili ambao alisema anakaa hapa lengo nikamsuprise tu[emoji23]nimeeka earphones naskiliza BACK TO SLEEP
Nikiwa napigia picha vyenye ntamkuta huko gheto kwake na baridi lile.Ghafla simu ikaita akaanza kusema mbona sikuoni mm niko hapa chuo nimeshafika tayari so mnyama nikaona mission ishakua nzito nikaanza kurudi tena pale NIT getini[emoji23]kufika tu aisee nikaona hio toto imekaa poa sana [emoji3059][emoji3059]na to act more professional nikapeana salamu pale then I gave her the goods akawa anazikagua huku analalamika vyenye her boyfriend hua hajui kutunza zawadi(mnyama kiroho kinaniuma kwa mbali pale basi tu najikaza tu nasema hizi ni nzuri atazipenda).So she paid me km 115k nikatia tia huruma za biashara pale akaniongeza 5k.kibunda kikawa mingi sana[emoji7][emoji383]nikamsindikiza mpk getini akaingia chuo.
Sasa wakati naanza safari ya kurudi[emoji1428]
So wakati natoka pale getini kukawa km kuna mzozano kati ya Walinzi na mdada mmoja hvi because of her dress codes.Nikasema wacha nishangae mtanange kidgo wale walinzi wakawa wamtimua kabisa yule dada.She walked away sasa wakati anatoka alkua anatembea km hayuko mzima.Si ndgu yenu huruma zikaniingia nikaenda kumsemesha nilipomfikia tu nikamsalimia afu ghafla tu she said kwa kigugumizi“yaani wewe hadi huku unafika,umefata nn huku”.Nikaanza kuwaza huyu ananijua au ni wenge la maafande.
nikamuulza sorry kwani tunafahamiana?.Ndio akanikumbusha tulikutana Airport 🥹moyo ulifurahi sana[emoji16]Nikasema milima tu ndo haikutani
Kipindi tunaongea pale akaniambia anaskia kifua kinamuuma so ni request usafiri uje umpeleke kwao.Kipindi tunasubiri gari nikaona anakua anatetemeka sana so as humble born and well-raised MSUKUMA nikaona wacha nimpe Sweta yangu im-comfort,manzi akavaa sweta bhana meanwhile bolt imefika but mabibo sokonii kuna foleni so akaomba tusogee pale urafiki kituo cha mafuta.Nikashika mkono bibie tukaanzaa safari.Huko njiana naona pisi mwendo unakua mdgo mara akasimama nikamuuliza vipi akaniambia I feel bad basi nikasogea nikamshika vzr tukatembea mpka kwa bolt.Nikampandisha then nikamwambia safe trip take care kwa huruma kakaniangalia kakasema please help me nifike Home don’t go(nikatamani kucheka[emoji23]nikawa naona mpk hizi ni km drama au ameuzimia mziki[emoji23]).Nikawaza kauongo ka kumwambia nikakosa nikasema tu pweteeeeleaa pwete wacha niende na hii drama mpk mwisho[emoji23][emoji1428]
So tumeanza safari hivi ikabidi nimuulze jina akasema anaitwa SthandwaSami (nikasema uyu ananiona fala kunitajia maneno ya kizulu[emoji38]) basi nikamsifia it’s a beautiful name akasmile.Baada ya muda ghafla tu naona mtoto ananirembulia🥲[emoji28]nikamwambia vipi how do you feel?Akasema I feel like dying,oyaa nilishtuka kisenge[emoji15]Nikamuuliza kwa nn unasama hvo [emoji35]Akajibu I can’t breathe properly [emoji3063]mnyama nikajikua nacare kweli nikamwambia driver kwa ukali ebu zima ilo AC[emoji38]
Nikamuulza tena anajiskiaje akasema worst[emoji15][emoji1487]ndipo nikasuggest kimasihara tu “maybe we should go to the hospital”.Akasema twende hospital moja inaitwa Ekenywa iko Magomeni ndo hua anatibiwa.So went to the hospital nikamlipa jamaa wa bolt afu 15.Nikapeleka manzi hospital kufika nikawaomba manesi pale wampe first aid because she can’t breathe and they took her.Mimi nikachukua pochi lake nikaenda reception pale kuanza process za matibabu[emoji1428]
So kutoa ile Bima yake waka process wakaniambia we have to pay cash bima imesha expire nikarudishiwa bima[emoji23]Bhana Nilichogundua hii dunia hawa mademu wako na jina mbovu mbovu za tribal hukua ni pisi za motoo mnoo[emoji23]
Demu alkua mkali ila anajina baya[emoji23]Basi nikalipa km 40k hv kwaajili ya vipimo na matibabu ya awali
Then nikarudi alikolazwa nikakuta anaendelea vzr.Nikamuaga nikaenda kumtaftia chakula nikamletea.So tukawa tunapiga story pale huku manesi wanakuja wanachange drip.Tukakaa mpk jioni then wakaleta hospital bill nikaisoma wanataka km 30k nikasema tu wacha nilipe basi tukaruhusiwa kuondoka.
Sijui alkua ameanza kunipenda au vipi akaniulza tunaelekea wapi? Nikawaza haraka haraka nikasema sahv nakupeleka wewe mpk kwako then niende kigamboni kwangu.[emoji1428]
Basi tukabolt mpk mikocheni🥹🥹nikalipia usafiri mfukoni nikabaki na af nane tu[emoji15][emoji1487]kufika huko I was surprised kiapartment tumeingia palkua ni one bedroom and sitting room pazuri mnoooo everything was so perfect [emoji2956] kufika mgeni nikapewa juice tukakaa kwa couch pale and we talked alot na giza likaiingia so nikawa naaga nataka kuondoka manzi akasema nisubiri aagize msosi tule then niondoke [emoji39][emoji39]
Akashuka chini akaenda kufata msosi meanwhile mimi Shetani akaanza kuniingiia taratibu yaani nikasema hapa sasa leo siondoki lazima niforce mazingira huyu awe manzi wangu [emoji23]mtoto si kanyooka afu ana salary pale Airtanzania nikaanza pia kuwazia ela zangu nilizotumia hio siku hata sijutii najisemea she’s worthy all my vimoney(meanwhile muda huo nilikua natumia pesa za mauzo ya @socks_clo and natakiwa niwasilishe pesa kwa
Alley then mwisho wa mwezi kila mtu afe na chake)
[emoji23][emoji23]akarudi na kipizza flani hv na vichicken wings plus soda. Tukala pale huku tunapiga story sana mpk nikaget very comfortable nikaanza zile jokes za hapa na pale out of nowhere she asked me Tufanye Truth or Dare ili aweze kunifahamu vzr zaidi[emoji23](Nikakumbuka ndgu yangu
luclay aliniambia ukiona mtu analeta truth or dare ujue anataka Sekshooo intaakhoozzi si kinginne)Nikaona huyu mbna anajifunga Own Goal kabisa hii mechi nashinda mimi Nikakubali kucheza[emoji1428]
Tukaaanza huu mchezo mchafu [emoji38]kila ikifika zamu I choose truth ila uongo ninaoutoa hapo ni mzuri mpk unaonekana ni ukwelii na kusema kweli Kwenye hizi game niwape Siri ukitaka umsome akili ya mpinzani wako wewe always choose TRUTH[emoji23]alafu na ataona game ni
Boring then you choose to Dare[emoji23]
Nakumbuka kuna truth moja nilisema vyenye nimeumizwa na mapenzi na nimegive up love affairs[emoji38][emoji1487](mwendo wa kutembelea gia za huruma kama kondeboy)basi pale akawa kama ananibembeleza sijui I should wait for the right time bla bla blla.
Sasa alivojichanganya ni kuniambia na yeye she’s in a complicated toxic relationship [emoji23](nikaona sasa hapa nishindwe mimi tu Mungu anipe nn sasa).
Nikatupa verse zangu nikamwambia vyenye tokea siku ya kwanza Airport nilimfeel na leo tumeonana it’s obvious Mungu amemleta kwangu ili tupeane furaha coz wote tunateswa na mapenzi[emoji23]sijamaliza hata kujitetea naona akaanza kama kujaa akanihug pale akanipa zile kisses za moto afu akasema Thank you for everything you have done today [emoji3526] mnyama nikajibu it’s nothing [emoji23](kumbe it’s something)Tukapeana Mabusu motomoto pale Mabusu motomoto pale Naona mtoto analainika tu afu anazidi kua wamoto kinoma mimi nikaona sasa ni mudaaa nitembeze rungu komredi kipepe (as y’all should know the rule WHEN AN APPLE IS GREEN ITS READY TO PLUCK,AND MOST IMPORTANTLY WHEN A GIRL IS ABOVE 18 SHE’s READY TO F*%k)[emoji9][emoji9][emoji1428]
BASI NILIVOONA MANZI KALAINIKA AFU ANAKUA WAMOTO SI NIKAJARIBU KUPITISHA MKONO NIONE KAMA MWAMPOSA KAMWAGA MAFUTA THEN BADAE NIWE FISTON MAYELE NITETEME KWA MKAPA[emoji23]MARA PISI AKASHTUKA AKANIAMBIA ITS TOO EARLY AND HAJISIKII VIZURI [emoji24][emoji24]ME BEING A GENTLEMAN SI NIKAACHA BHANA(WHEN GIRLS TELL YOU TO STOP IT MEANS CONTINUE)NILIVO BOYA NIKAENDA NA KUMLETEA DAWA ANYWE AKANYWA THEN NIKAMWAMBIA AKAOGE AJE TUPUMZIKE(HAPA NILIKUA NAWAZA NIJARIBU TENA KUFORCE KINGI KAMA MAYELE HAJATETEMA BASI GENERAL MOSES PHIRI ATAPIGA 🫡SALUTE TU KWA MKAPA[emoji23])
BASI MANZI AKAINGIA BAFUNI KUOGA MNYAMA NIKAANZA KUIMAGINE KAMA NIMEFELI KWENYE KOCHI KULE KWENYE KITANDA NDO NTAFORCE MPAKA IWE[emoji23][emoji23]
BASI MANZI AKATOKA KUOGA AKANIITA NA MM NIKAOGE.NIKAINGIA KILE CHUMBA NIKAKUTA YUPO NA ZILE SLEEPWEAR FLANI HIVI VERY SEXY [emoji160][emoji23]NIKAJIKAZA NIKAINGIA BAFUNI KIUKWELI WAKATI NAOGA NIKAJIAPIA LEO BHANA MIMI LAZIMA NIMKULE,KIKONTAWA KISHUA AU KIMTAA HAIWEZEKANI AISEE[emoji23][emoji1487]
[emoji1428]
BASI MNYAMA NIKATOKA BAFUNI PALE NAJIFUTA FUTA NINI PALE CHUMBANI KWA MBALI NIKASIKIA SIMU YANGU INAITA NIKATOKA MBIOOOO MPKA SITTING ROOMS[emoji28]
NIMEFIKA SITTING ROOM SIELEWI KABISA NASHANGAA NAONA BOONGE LA KIJEBA YAANI KIPANDE CHA MTU[emoji24]
AKILI YANGU IKIWA INALOAD NISEME NINI GHAFLA YULE MANZI AKANIAMBIA SHIKA UONGEE NA
Alley ANAKUPIGIA NIKAPOKEA SIMU NIKASOGEA PEMBENI[emoji24][emoji24]
NIKASIKIA YULE DADA ANAMWAMBIA YULE JAMAA “BABY YULE NDO CUZZO WANGU NILIEKUA NAKWAMBIA ANAHANGAIKA NA ADA LEO AMEKUJA KUNITEMBELEA”[emoji24][emoji24][emoji24]
NILIVO RUDI PALE IKABIDI TU NIENDE NA FLOW YA UNDUGU NIKAWAZA HAPA NIKIENDA NJE YA SCRIPT NTAULIWA JUU KUMBE YULE DADA NI BIBI YA WENYEWE[emoji24][emoji174](nikikumbuka sauti sol walisema “BIBI YA WENYEWE IS A NO-GO ZONE” nikaishiwa nguvu)[emoji1428]
BASI JAMAA LIKANISALIMIA PALE NA KUNIPA POLE NYINGI SANA [emoji24][emoji24]HATA SIELEWI NI POLE ZA NINI NA MIMI NINASEMA TU ASANTE SHEM HUKU NAWAZA VINGI SANA[emoji24][emoji24][emoji1487]
Then jamaa akaniaga anaenda kupimzika [emoji23]
yule dada nae akaingia chumbani akaniletea pillow na bedsheets nilale kwa Couch then akaniambia kwa nguvu kabisa Goodnight Cousin Sweet dreams[emoji24]
NA DAKIKA 15 NI MINGI SANA NILIANZA KUSIKIA MIGUNO MZEE ALKUA ANATEST STRENGTH YA KITANDA CHAKE HUKU BIBIE NAE ANAINGIZA BACK VOCAL KAMA RUBY[emoji24][emoji24]I HEARD TERRIBLE VOICES MPKAKA NIKASHINDWA VUMILIA
NIKAONA ISIWE KESI WACHA NITEMBEE NIKASOGEA MLANGONI NAONA UPO LOCKED NILITAFUTA UFUNGUO NITOROKE HATA SIKUUOONA [emoji24][emoji24]
NIKARUDI KUKAA TU KWENYE COUCH NASKIA VYENYE SHEMEJII WANGU WA GHAFLA ANAMKULA CUZO WANGU wa MCHONGO [emoji24][emoji1428]
USINGIZI HAUKUJA MPK ASUBUHI NIKAENDA KUKNOCK MLANGO WAOO [emoji23][emoji23]NIKASOGEA MLANGONI PALE NIKAMUITA CUZZ0 NIKAMWAMBIA AJE AFUNGUE MLANGO NIWAHI CHUO[emoji31]GHAFLA MLANGONI AKATOKEA YULE MWAMBA NIKAMSALMIA SHKAMOO SHEMEJII [emoji24][emoji24][emoji1487][emoji174]NIKAMWAMBIA NATAKA NIMUAGE DADA NIENDE MAGUFULI HOSTEL NIKAJIANDAE NIPANDE CLASS[emoji24][emoji24]Jamaa akasema nitulie tunatoka wote watanisindikiza mpka Hostel[emoji23]Nikaona kama wananichelewesha tu ila fresh
YULE DEMU ALITOKA NA FUNGUO ZA GARI WAKASEMA TUONDOKE TUTAKUACHA NJIANI[emoji24][emoji1487]
TUKAONDOKA WAKAENDA KUNISHUSHA MAAGUFULI HOSTEL PALE Yule DEMU kwakua aliona kabisa nilivokua mnyonge akamwambia yule jamaa “baby do something for my cousin”[emoji24][emoji24]Kila nikiskia neno cousin nammindi kinoma wakanipa 20K dollar 200$ wakasema weekend nirudi kuwatembelea and tutaongea vizuri wananisaidia vipi na mambo yangu ya chuo[emoji24][emoji24]NIKACHUKUA PESA NIKASEMA ASANTE SHEM(huku kimoyo moyo namtukana mbwa yule amehack mchongo nikashindwa kutetema)NIKAPITA HIVI
[emoji3526][emoji383]nakumbuka nilienda CRDB kubadili zile dollar nikapewa laki 4 na vinoti kadhaa almost 500k nikasogea Ghetto kigamboni[emoji23]sikumwambia
Alley mkasa wowote
ila mjue tu hizo pesa tulienda kuzitumbua weekend ilofata kule kigamboni TUKANUSURIKA KUPIGWA NA WANAJESHI[emoji24][emoji24]
Anyways And that’s how my AIRTANZANIA love became PRECISION AIR CRUSH[emoji24][emoji24]
“bibi ya wenyewe is a no go zone”
SAUTI SOL-NAIROBI