josephdeo
Member
- Nov 23, 2015
- 96
- 208
Uko zako unaumwagilia moyo kwenye siti za nyuma kabisa ndani ya pub ya kitaa....
Wanaa wasikusome si unajua hawachelewi kuzusha kuwa wewe ni Freemason. Kumbe unajipooza na machungu ya siku nzima.
Mara ghafla bin vuu inaingia ile pisi kali ambayo kila siku maombi yako ni kuonana nayo face to face. Ili utangaze nia ya uchaguzi kwenye hilo Jimbo.
Wakati bado unapanga mashambulizi ya namna gani utamkabili huku ukilisafisha koo lako na kinywaji. Ghafla kutupa macho huko unamcheki anacheka na mchizi aliyekuwa kando yake. Oooh!, Nimesahau si kucheka tu bali pisi inatoa digits. Hapo si ndo unagundua kuwa hawakuwa wanafahamiana Kama mwanzo ulivyodhani.
Unabaki unajilaumu na kuwaza hivi yule boya ana Nini labda?. Mbona Kama mshamba fulani, mbona Kama hawaendani na hiyo pisi!. Alafu unajipa majibu mepesi hata hivyo sikuwa namtaka sana. Kwanza kwa komwe lile ningeenda nae wapi?. Wacha wakae na mshamba mwenzie kwa sababu I deserve better.
Unaendelea kusukuma ngano ndani ya mwili na baadae unakuja kuona kule tena kwa sababu macho hayana pazia. Ghafla huwaoni wale watu hawapo wote wamedisappear. Mawazo ya kishenzi si yanakurudia bwana na kuwaza si ningekuwa yule boya.
Yaani kiulani mwamba anaenda kuweka nilikuwa nakwama wapi?. Wakati mjini yote ni lami. Ghafla kanakuja kapepo fulani na kukwambia au anajisell Nini?. Mbona imekuwa ghafla sana kwa matukio yalivyotokea. Tena si chini ya nusu saa. Au mwamba ana Pete ya bahati Nini?.
Broo wacha ufala next time ukiona dem na ukamtaka mwambie. Usianzishe vita na nafsi yako acha kufikiria ujinga. Wenzio wanakuacha kwa sababu wanafunguka hisia zao.
Wanawake wanavutiwa na maneno blaza. Yaaani wanachokisikia alafu wewe ndie unayevutiwa na unachokiona. Hivyo usije kufikiri mwanamke atakupenda akikuona kaka. Mpaka uuze sera zako Kama Chadema na katiba mpya.
Chao till next time.