Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,687
Yaani wajinga mlianzisha ugomvi wa mawe wakati mnaishi kwenye nyumba za vioo.kisirani kwenye kadamnasi ni uduanzi sana, ishu yenywe ilishapita kitamboa altakiwa awe mpole. Kuna namna jamaa ana kutojiamini kama mwanaume hasa akikosea
Sijawahi kukubali kushindwa bila kusikia neno am sorry.
Kifupi kubalini mlizingua kwenda kwa manzi kusema. Na kwa taarifa yenu mrembo nipo nae sawa tu tunaendelea kuwachora mnavyo jipeleka na kumuambia uzezeta wenu



anatia aibu maneno shazi kama manzi daah wanaume tunapungua sana
mkuu jimmygatete temana nae aendelee kuimba



