Ndugu wana jf, Habari, Humu tunaelimika sana, tena sana, Matusi Na Kashfa sio mahala pake, Kama MTU huamini kitu njoo Na hoja, Kuna watu tunajifunza mengi Kupitia Huyu huyu mshana, japo hatujawa wepesi kutoa maoni, ila ukweli tunafaidika sana, Kama mtu ukinyamaza ILi wenye hoja Waje Utapungukiwa...