Ni kwa nini Israel ina jeshi la kisasa zaidi kwa teknolojia duniani

Sijawai kusikia israel katengeneza ndege zaid ya kununua vifaa vya kivita kwa makampuni ya Lookheed martin, Boeing Defense , Space & Security na Northrop Grumman shirika pekee la vifaa vya kijeshi ndani ya Israel ni Israel Aerospace Industries (IAI) hili ndio shirika pekee ndani ya israel wana deal na Aerospace ,Defence na Tech na walikuwa project Lavi mwaka 1980 project ya Lavi ambapo ni kutengeneza ndege za kijeshi project hyo ilikuja kushindwa mwaka 1987 baada ya bunge la israel kuachana nayo kutokana na bajeti ya program yani program cost kuwa kubwa sana ndio maana siku hizi kuna joint strike project kwa ajili ya kupunguza mzigo wa project cost

Hakuna ndege ya kijeshi mbayo hipo kwenye service mpaka sasa iliyotengenezwa Israel taasisi pekee iliyondani ya israel ni (IAI) ambayo kwa sasa inadeal na Aircraft maintenace na Aircraft upgrade hizi ni ndege za kiraia yani Business Aircraft
kampuni zote kubwa dunian za mambo ya kutengeneza vifaa vya kijeshi na mambo ya Tech za kjeshi hakuna hata moja ipo israel top 20 zote
1 Lockheed Martin Corp.
2 Northrop Grumman Corp.
3 Raytheon Co.
4 Boeing Co.
5 General Dynamics Corp

Hizo ni kampuni Tano kubwa za vifaa vya kijeshi na ulinzi umezungumzia gari la Unmanned Ground Vehicle (UGV) hiyo ni project ya Kampuni ya Lockheed Martin Corp. ya nchini USA , Israel mpaka leo bajeti ya nchi yao 50% inachangiwa na US na kila mwaka Israel wanapokea fund ya Us $ 4 billion kwa ajili ya jeshi pekee

Kitu kingne uchumi wa israel na sifa mnazoipa mbona haviendani???? kwa taarifa yenu South africa ni tajiri na inauchumi mkubwa kuliko israel Nigeria pia ina uchumi mkubwa kuliko israel kwenye nchi zenye nguvu za kijeshi Israel inaweza kuwa ya 6 au 7 hizo UAV zote za US ambazo ni MQ-1 Predator hyo kwenye picha yako na imetengenezwa na General Atomics Aeronautical Systems mwaka 1995 na kuna nyingne inaitwa MQ-9 Reaper ambazo ndizo zinatumiwa kufanya Ops kwa majeshi ya US na Israel hii MQ-9 Reaper ni kwa ajili ya Border Protection's
Huu uzi ilitakiwa uulete ww maana nilegoogle karbia vyote ulivosema nimevikuta vipo sahh ila nina waswas mkuu hv ww sio mwamunyange kwel maana sio kwa clarification hiyo. Bt kujua kitu unachochangia raha sana sio wengne wanabaki kuleta ushabiki wa kidin hajui lolote
 
Naomba usiseme kila kitu yupo sahihi, subiri nakuja maana unaye msifia ameruka vitu vingi sana. mfano anapo zungumzia vifaa vya kijeshi vya Israel na uchumi amezungumzia kama mtu aliyesoma mahali lakini sio MTU mwenye uelewa wa mambo ya kivita na kiuchumi.

narudi.
 
Kama una swali uliza swali lolote nitakujibu kama ni hoja sema nakungoja .
 
Israel inatoa mafunzo ya ulinzi n.a. usalama kwa mataifa mengi duniani
 
Lakini hakuna watu waoga kama wao. Silaha bora sio ushindi. Ubaguzi wao utawatokea puani. Mbunge mashuhuri wa Uingereza Bwana George Galloway alisema "Their days are numbered". Mkaburu alianguka na alikuwa ni mwanamme halisi, itakuwa Israel nyenye wanajeshi mashoga kuliko jeshi lingine lolote duniani?
Self Determination ya Wapalestina na uungwaji mkono wa Umoja wa Mataifa zinatosha kuondoa ubaguzi na ukaaji kimabavu katika ardhi za Wapalestina.

Inasemekana, Waisraeili kuwa na silaha na nguvu zote za kijeshi, kuikalia ardhi za Palestina kimabavu, bado raia wa kawaida wa Israeli hawapati usingizi mnono wa furaha na amani kwa ajili ya wasiwasi. Dhulma hiyo.
Wakati Wapalestina walionyang'anywa ardhi zao na kuishi kama wakimbizi kwenye nchi yao na kulazimishiwa kuishi kwenye hali mbaya na saa nyingine kukoseshwa maji kwa makusudi, bado Wapalestina wanapata usingizi mnono na kulala kwa furaha na amani. Wanaonekana wenye afya. Haki haipotei. Palestina hoyee.

Mabashirio yote yameanza kuonekana duniani kote. Kizazi kinachokuja kitapinga Ubaguzi wa aina yoyote ile. Israel imeshaanza kumulikwa. Mataifa mengi yameanza kujua ukweli.
 
Mimi Nilitegemea Mnaofwata katika maada hii mngeeleza Jinsi mnavyojua, ILi Wengine tuelimike zaidi, Kuliko Kukashfu, Kwa sababu hata kama kakosea bado kuna faida ya kuileta mada mezani.
 
Umempaisha saaaana israel hakuna kitu kama icho.... israrl kijeshi ni mpumbav saaaana hana lolote... tulikalilishwa vibaya tukiwa wadogo shulleni.....

Anauzaje silaha na anaongezaje teknologia na kila siku tunaskia anapewa msaada wa silaha na marekani...

Hana inshu
Kawahi mskitini utachewa jf
 
Fuatilien namna ambavyo waisrael wamesambaa dunian hata marekan wataalam wangi ni ma judah pia hata jermani
 
Sijawai kusikia israel katengeneza ndege zaid ya kununua vifaa vya kivita kwa makampuni ya Lookheed martin, Boeing Defense , Space & Security na Northrop Grumman shirika pekee la vifaa vya kijeshi ndani ya Israel ni Israel Aerospace Industries (IAI) hili ndio shirika pekee ndani ya israel wana deal na Aerospace ,Defence na Tech na walikuwa project Lavi mwaka 1980 project ya Lavi ambapo ni kutengeneza ndege za kijeshi project hyo ilikuja kushindwa mwaka 1987 baada ya bunge la israel kuachana nayo kutokana na bajeti ya program yani program cost kuwa kubwa sana ndio maana siku hizi kuna joint strike project kwa ajili ya kupunguza mzigo wa project cost

Hakuna ndege ya kijeshi mbayo hipo kwenye service mpaka sasa iliyotengenezwa Israel taasisi pekee iliyondani ya israel ni (IAI) ambayo kwa sasa inadeal na Aircraft maintenace na Aircraft upgrade hizi ni ndege za kiraia yani Business Aircraft
kampuni zote kubwa dunian za mambo ya kutengeneza vifaa vya kijeshi na mambo ya Tech za kjeshi hakuna hata moja ipo israel top 20 zote
1 Lockheed Martin Corp.
2 Northrop Grumman Corp.
3 Raytheon Co.
4 Boeing Co.
5 General Dynamics Corp

Hizo ni kampuni Tano kubwa za vifaa vya kijeshi na ulinzi umezungumzia gari la Unmanned Ground Vehicle (UGV) hiyo ni project ya Kampuni ya Lockheed Martin Corp. ya nchini USA , Israel mpaka leo bajeti ya nchi yao 50% inachangiwa na US na kila mwaka Israel wanapokea fund ya Us $ 4 billion kwa ajili ya jeshi pekee

Kitu kingne uchumi wa israel na sifa mnazoipa mbona haviendani???? kwa taarifa yenu South africa ni tajiri na inauchumi mkubwa kuliko israel Nigeria pia ina uchumi mkubwa kuliko israel kwenye nchi zenye nguvu za kijeshi Israel inaweza kuwa ya 6 au 7 hizo UAV zote za US ambazo ni MQ-1 Predator hyo kwenye picha yako na imetengenezwa na General Atomics Aeronautical Systems mwaka 1995 na kuna nyingne inaitwa MQ-9 Reaper ambazo ndizo zinatumiwa kufanya Ops kwa majeshi ya US na Israel hii MQ-9 Reaper ni kwa ajili ya Border Protection's
Tatizo watu wengi wakiizungumzia Israel wanaweka imani mbele. Hata ukiwapa ushahidi mzito namna gani hawawezi kukuelewa maana kwao chochote kizuri duniani ni cha mwisrael. Wanashindwa kujua kuwa Israel Kuna matatizo chungu nzima kuliko hata ya kwetu, mfano tel aviv ambao ni mji mkuu wa Israel ndio mji unaoongoza kwa kuwa na mashoga wengi duniani. Asante kwa ufafanuzi mujarabu
 
Screenshot_2017-02-11-11-19-15.png
 
Attachments

  • Screenshot_2017-02-11-11-19-02.png
    Screenshot_2017-02-11-11-19-02.png
    34.4 KB · Views: 33
izzo Umeogea mengi sana ya muhimu mkuu,

Ila kumbuka tech yote kubwa pale Marekani wanauziwa na Waisrael, ndiyo maana Marekani inamlinda israel!! Hata ramani ya Dodoma imechorwa na jamaa wa Israel Myahudi

au unaweza kusema bila Israel hakuna marekani,

Na ile project yao ya lava bajet ilikuwa kubwa sana wakawauzia wachina

Mabawa yote ya ndege za boing wanayaunda wayahudi wa Israel
 
Hv Tz tukimuajiri muisrael atuundie rocket. Rocket ikikamilika tutasema Tz imeunda rocket ama tutasema Israel imeunda rocket.
Hata ukiajiriwa ukamuingizia bosi wako faida na akawa tajiri sifa ya utajiri itabaki kwa bosi siyo mfanyakazi
 
Israel inatoa mafunzo ya ulinzi n.a. usalama kwa mataifa mengi duniani
May 14-1948 bwana David Ben -gurion mwenyekiti wa Jewish Agency alitangaza uhuru wa israel mjini Tel Aviv sasa bhasi mahusiano ya israel na US na mpaka kupatikana taifa la israel ulitokana na mkataba kati ya bwana Harry Truman rais wa 33 wa US na familia ya Rothschild familia iliyodhamini uhuru wa taifa la israel na ndio waliojenga Bank kuu ya israel ,mahakama na jengo la bunge la israel kwa gharama zao

Sifa waliyokuwanayo Israel na kupata heshima juu ya mambo ya intelligence na usalama mpaka kupata nafasi ya nchi nying kupeleka raia wake wakapate mafunzo ya ulinzi na usalama ilitokana na kile kilichofanyika june 5-10 mwaka 1967 ktk 6 days war na kuifanya Israel kuwa na Km za mraba 20,770

Baada ya kwisha kwa vita baridi mwaka 47-1991, intelligence nyingi duniani zilibadili mfumo. Badala ya kutumia human wakaanza kutumia technology intelligence, matumizi ya drones udukuzi na satellite ktk kufanya intelligence lakini duniani hakuna best machine in everything kama binadamu kwanza ana utashi na maamuzi ya haraka kiliko machine yeyote duniani, najua kuwa watu wanaweza kupinga hili lakini jiulize unaweza kuwa na akili zaidi ya yule aliyekuumba au kukutengeneza? binadamu ndio aliyetengeneza machine zote unaziona

Mwaka 1991 ndio new page katika maswala ya intelligence na milltary technology leo technology ya kijeshi imeipita tech ya kiraia kwa zaid ya miaka 20 kwa leo tech ya kijeshi aitegemei tena utashi au mawazo ya binadamu tena rakini ya kiraia bado inategemea binadamu ,mfano ndege jeshi wana ndege zinazokwenda bila ya rubani (UAV) lakini kiraia ndege zote wanamtegemea pilot kwenye kila kitu.

Vita ile zilipigana nchi 3 za kiarabu nazo ni Egypt walitoa askari 11,000 Jordan 6000 Syria 1000 dhidi ya askari 700 wa Israel lakini tukakuwa waongo kama tukisema israel ilipigana yenyewe bili ya msaada wa US ,UK na Ufaransa sasa bhasi sifa kubwa ilikwenda kwa Mossad na kuifanya kuwa ni intelligence ya kuogopwa duniani sasa baada ya mapinduzi makubwa ya kitech na kimfumo na matumizi ya technology intelligence kuwa makubwa kuliko human intelligence baada ya vita baridi mwaka 1991 nchi nying ziliacha kupeleka askari wake kwenda Israel kwa ajili ya mafunzo ya ulinzi na usalama

Kumekuwa na msemo kuwa Israel wamechangia maendeleo ya kitechnology ya US jibu ni kuwa Israel wamechingia 20% lakn 50% ni Wajerumani hizo 30%ni wamarekani wenyewe na watu kutoka mataifa mengine

Baada ya vita vya pili kuisha kila nchi ilikuwa inatamani kuingia ndani ya UJERUMANI na kuchukua kile watakachopata kwenye upande wa Technology nataka kukwambia wajerumani ndio viumbe wenye akili wakifatiwa na wakorea ktk upande wa IQ US na Russia waligawana Nchi ya ujerumani mmoja kuchukua West na Mwingine East na walichukua wanasanyasi wengi wa ujerumani na kuwapeleka nchi zao hao ndio walikuja kuleta mapinduzi ya kitechnology duniani hv unajua ndege ya B 2 sprit Bomber ambalo ni dege lenye thamani kubwa kwa sasa na ndege lenye uwezo wa ajabu ni reverse eng ya kutoka ujerumani yapo mengi ya kuongea bt naomba niishie hapo.

Jambazi Zero 2 Hero Hansy wa East
Tabutupu

Mkuu Jambazi project ambayo mwisrael ameshiriki moja kwa moja ni Manhattan project ambayo ndio iliyotengeneza bomu la Nuclear

Na pia kabla ya hapo kulikuwa na project muhimu na ya siri iliyokuwa inajulikana kama Manhattan Project kumbuka kila baada ya miaka 10 CIA huwa wanataja project zao walizozifanya dunian project hii ndio iliyozaa bomu la Nuclear lililopiga japani katika miji ya Iroshima na Nagasaki baada ya yale mashambulizi ya pearl harbor katika mji wa Hawaii katika vita vya pili vya dunia chini ya jemedari wa kijapan bwana Hideki Tojo wakishirikiana na bingwa au master mind Mr Isoroku Yamamoto huyu bwana alikuwa ni hatari sana alianza kazi mwaka 1901-1943 alipokufa katk uwanja wa vita alikuwa na cheo cha Marshal admiral jamaa aliyepatia elimu US na alikuwa mtu mwenye akili sana na ndie binadamu pekee alieweza kufanya mashambulizi ya kivita ndani ya US soil mpaka leo hakuna nchi iliyofanikiwa kufanya hvyo

kama nilivyosema kuwa wajapani,wakorea,Germany ndio watu wenye IQ kubwa dunian kuna siku nikipata muda nitakuja kuzungumzia jambo ili kwa urefu lakini kwa taarifa yenu baada ya vita vya pili dunian kuisha wanasayansi wa germany wote walichukuliwa na US na Russia na ndo walieleta mapinduzi wa kisanyasi dunian baada ya vita vya pili na kama ujerumani ikiachwa tu ingekuwa ndio taifa lenye nguvu kubwa sana leo ata watanzania vitu vigumu vinafananishwa na mjerumani pamoja na kupigwa na dunia vita vya pili lakini ndio taifa lenye uchumi mkubwa ulaya hapo tu unaweza kupima nguvu na akili ya wajerumani

Sasa bhasi Manhattan project ilidhaminiwa na familia hii ya Rothschild wakishirikiana na familia zingne 6 kumbuka dunian kuna familia 13 zenye nguvu na maamuzi juu ya dunia unayokaa wewe na mumeo au mkeo na zimejigawa ktk makundi na vyeo 13 Baraza kuu 7 watendaji 3 waamuzi jambo lolote linalofanyik dunian lazima lipate Approval na familia hzo labda niwatajie kwa ufupi familia hzo

Astor,Bundy,Collins,Du pont,Freeman,Kennedy,LI,Onassis,Reynolds,Rockerfeller,Rothschild,Russel na Van Duyn

Familia ya Li hii ipo china nadhani pia nikipata muda nitakuja kuuelezea familia hzi na nguvu zao hapa dunian

Sasa tuendelee kuzungumzia Israel na wadhamini wao familia ya Rothschild kumbuka awa ndio wamiliki wa mifumo ya bank na biashara yao kubwa ni mabank kumbuka mpaka inaitwa Bank lazima kuwe na mfumo unaofanya kazi unajulikana kama Global Finacial System GFS na mfumo huu ndio unatumika dunian kote leo familia ya Rothchild wanajua ni fedha kiasi gani ipo ktk mzunguko duniani na hata baba yako aliyeweka fedha bank leo wao wanajua ni Bank za mataifa 2 Tu dunian ndoi awapo ktk mfumo huu Bank za Iran na Korea kaskazini
ndege JOHN BAK
 
Jambazi, izzo na wngneo asanteni kwa chakula ya ubongo,ila kwa upande wngu pa1 na sifa zte za waizraeli hpo kwnye ushoga tena uliokithiri mmh hapana !!wajerumani juu!!!!
 
Back
Top Bottom