Mbinu wanazotumia wadada kuchuna buzi mitandaoni

Wasenge Sana. Ukimuambia Chukua Bodaboda Anaenda Kumtafta Lijamaa Tu Analipanga Analiambia Mwambie Atume Kwanza Advance 5000 Eti Lijamaa Nalo Linaongea Na Ww Linasema Eti Watu Hawalipagi So Bila Advance Hamleti. Tuma Iyo 5000 Uone.
Hivi lakini watu wanakuwa na upofu ama nini?

What a fuc*** bussiness is that?
 
Last Time Niko Hapo Chuo. Nilikomoa Mtu. Download Badoo Ukiweka Location Inakuambia Bumped Onto. Nikabump Onto Kama Mara 3 Na Huyo Demu Ubungo. Nikamsebenza Akatiki Ila Nikamuambia Niko ApoApo Ubungo Akasema Niko Arusha Tuma Nauli. I Was Like Oooh Thats Cute But Dumber Also. Nikamuambia Ukweli Na Kumuelewesha About Iyo App Na Izo Bumped Onto Kwamba Ni Lazma Tuwe At The Same Au Atleast Near Places. Likamshuka Shuuu. Kumbe Anasoma Chuo Cha Maji. Bas Baada Ya Kuumbuka Ilimbidi Tu Apande Pale Hall 1 Block Tower 6Th Floor Kuja Kulipia Uongo Wake,She Surrendered.Hakukua Hata Na Haja Ya Hotel Koz Once You Are Dumb You Will Be Treated As A Dumbass You Are.

Now Wakiniambia Niko Wapi Mm Nasema Mwanza Alafu Automatically Atasema Yuko Dar Koz Anajua Atakuambia Nauli Utume Ukimtaka. Then Unakuja Kumwambia Nakuja Dar Kikazi Nafikia Hotelini,Hah Pozi Litamuisha Haki Ya Nani Wengine Hawatokujibu Tena.I Banged Two Of Those,This Way. MAFIA Style.
Duh! Hii kweli ni Mafia style!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lazma Uwe Mafia. Ninawasomaga Alafu Nakua A Step Ahead Of Them. Na Nikiangaliaga Picha Tu Najua Huyu Mwanaume Kaigiza Demu. Au Huyu Ni Demu Real. Na Katika Kumi Watatu Ni Madem Real Ambao Vinawawasha Na Wanataka Hela. But Saba Waliobaki Ni Midume. Whatsapp Haweki Dp Wala Status. Au Namba Inapatikana Akikutafta Yeye. Pia Izi Picha Wengi Wanazipata Za Wakenya Waafrika Magharibi Au Watu Wa Carribean Kama Jamaica Haiti Trinidad Koz Tunafanana Na Kuendana. Sasa Mimi Kama Kuna Kitengo Cha Anti-Utapeli Na Umalaya Mtandaoni Wanichukue Maana Ninawaelewa Sana Hawa Wezi. Na Huwa Nawaenjoy Sana. Na Nikitaka Mlupo Wa Ukweli Najua Njia Za Kuupata. Vijana Wanalizwa Sana *****.
 
Hao wanaume wajinga wajinga wachunwe tu hadi akili ziwakae vizuri.

Mtu mmekutana online then the following day anakuomba pesa ya voucher, na wewe unatuma tu. That's being stupid.
 
Lazma Uwe Mafia. Ninawasomaga Alafu Nakua A Step Ahead Of Them. Na Nikiangaliaga Picha Tu Najua Huyu Mwanaume Kaigiza Demu. Au Huyu Ni Demu Real. Na Katika Kumi Watatu Ni Madem Real Ambao Vinawawasha Na Wanataka Hela. But Saba Waliobaki Ni Midume. Whatsapp Haweki Dp Wala Status. Au Namba Inapatikana Akikutafta Yeye. Pia Izi Picha Wengi Wanazipata Za Wakenya Waafrika Magharibi Au Watu Wa Carribean Kama Jamaica Haiti Trinidad Koz Tunafanana Na Kuendana. Sasa Mimi Kama Kuna Kitengo Cha Anti-Utapeli Na Umalaya Mtandaoni Wanichukue Maana Ninawaelewa Sana Hawa Wezi. Na Huwa Nawaenjoy Sana. Na Nikitaka Mlupo Wa Ukweli Najua Njia Za Kuupata. Vijana Wanalizwa Sana *****.
Aisee we jamaa unatuharibia biashara!!! Si kwa ujuzi huoo! [emoji23][emoji23]
 
Lazma Uwe Mafia. Ninawasomaga Alafu Nakua A Step Ahead Of Them. Na Nikiangaliaga Picha Tu Najua Huyu Mwanaume Kaigiza Demu. Au Huyu Ni Demu Real. Na Katika Kumi Watatu Ni Madem Real Ambao Vinawawasha Na Wanataka Hela. But Saba Waliobaki Ni Midume. Whatsapp Haweki Dp Wala Status. Au Namba Inapatikana Akikutafta Yeye. Pia Izi Picha Wengi Wanazipata Za Wakenya Waafrika Magharibi Au Watu Wa Carribean Kama Jamaica Haiti Trinidad Koz Tunafanana Na Kuendana. Sasa Mimi Kama Kuna Kitengo Cha Anti-Utapeli Na Umalaya Mtandaoni Wanichukue Maana Ninawaelewa Sana Hawa Wezi. Na Huwa Nawaenjoy Sana. Na Nikitaka Mlupo Wa Ukweli Najua Njia Za Kuupata. Vijana Wanalizwa Sana *****.
Hahahaaa ni kweli watu waroho wa papuchi wanalizwa sana
 
Ni Nyege Ndo Huwasumbua. Nyege. Namm Nlianza Ivyo Ila Baafa Ya Kuona Boom Langu Nikitapeliwa Nitalala Njaa. Nikatafuta Counter Measures. Bora Ulale Njaa Ila Mpapa Umekula.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila mbona za bure zipo nyingi!!!
Unaambiwa unaangalia msichana mwenye low self esteem au insecure!!! Yaani hao ukitongoza sekunde nyingi kakubali!!! Unajilia utakavyo!!!
 
Hivi ulikiwa chuo kipindi hicho?

Hahahaaa! Pole mkuu
 
Kugandana Unakuweza??
Maana Kama You Are Better Than Her Mwenzio Anafika Alafu Ww Ulitaka Kutoa Mchuzi Tu. Na Kumwambia Ukweli Anakuona Mbaya. I Will Always Go For The Swingers,Hookers,Whores,Those Who Dont Give An FFfff.
 
Hivi ulikiwa chuo kipindi hicho?

Hahahaaa! Pole mkuu
Pole Ya Nn. Mimi Wala Co Muhanga. Niligutuka Mapema. Pia Ukiwa Mkinga Lazma Kuna Kaubahili Unakua Nako So Huwezi Anza Tu Kutoa Ela Bila Kufanya Annual General Meeting Na Kujua Hapa Nitaprofit Vipi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila mbona za bure zipo nyingi!!!
Unaambiwa unaangalia msichana mwenye low self esteem au insecure!!! Yaani hao ukitongoza sekunde nyingi kakubali!!! Unajilia utakavyo!!!
Watu wanaangali picha wakiona toto la kiarabu/mixer na ngozi nyeusi chura kubwa na nyonyo basi akili zinaruka anatuma nauli ili aje afakamie! Matokeo yake wanaambulia kulizwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ni ujinga tu na kukosa kazi ya kufanya....ni muhimu sana sisi binaadamu kutokumuamini mtu ambae umfahamu...kamwe acha ujinga wa kuamini mtu usie mfahamu...
 
Pole Ya Nn. Mimi Wala Co Muhanga. Niligutuka Mapema. Pia Ukiwa Mkinga Lazma Kuna Kaubahili Unakua Nako So Huwezi Anza Tu Kutoa Ela Bila Kufanya Annual General Meeting Na Kujua Hapa Nitaprofit Vipi
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Watu wanaangali picha wakiona toto la kiarabu/mixer na ngozi nyeusi chura kubwa na nyonyo basi akili zinaruka anatuma nauli ili aje afakamie! Matokeo yake wanaambulia kulizwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Old is Gold mimi ndio maana mbinu zangu ni zilezile za kabla ya simu za viganjani. Wanawake wa humu mitandaoni ni ujinga sasa kwa kuwa vijana wa kileo wengi mistari hawana ndio wanakimbilia kwa hao wanaojitangaza. Poleni.
 
Mbinu zote hizo, mimi naona mpumbavu ni mwanaume tu, Unaanzeje Kutoa hela ndefu Namna hiyo bila Kumuona mtu uso kwa uso, Haya ndiyo madhara ya mtu kuweka imani kwenye Picha, bila Kuonana na mhusika, Sikatai, Ni kweli ULaghai Upo, Lakini Mwingine Ni Wa Kijinga sana, yaani Kwenye Picha tu, mtu Unanyofolewa hele zote!!!
 
Back
Top Bottom