Ukihama CCM tu lazima uwe fisadi na ujulikane maovu yako yote.
Yaani ukiwa ndani ya CCM hata ufanye nini utaonekana uko safi kabisa... Hata ukiitwa fisadi papa au nyangumi, yaani huna tatizo kabisa.....
Hama sasa nenda nje ya CCM
Wewe ni fisadi na utavuliwa nguo zote ulizovaa, utapachikwa...
Kipindi cha mwezi mmoja ni vigumu kijana kuwa unavyofikiria, kwa sababu mwezi mmoja anajifunza miezi mitatu mpaka minne kama sio mitano hatafanya kitu.
Lakini kuna madarasa ya holidays na weekend karibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.