taekwondo
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 127
- 215
kwa wale wajuz wa mambo ya karate naomba mnifahamishe hili..kuna style kama shaolin,taekwondo,wing chun,judo,Tai chi nk.je kati ya hizo ni ipi mtu akijifunza inaweza mfaa endapo atahitaj kujilinda pale anapovamiwa na watu kitaa..maana wanasema ngumi za ulingoni na mtaani ni vitu viwili tofauti.