JamiiForums karate club

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Wakongwe habari zenu aisee wote tunajua kuwa maisha yamebadilika sana kutokana na pilika pilika za maisha utafutaji wa fedha watu tunakuwa busy sana kwani ukiangalia ratiba ya mtu ni nyumbani, kazini halafu nyumbani

ratiba hii inatoa fursa ya magonjwa kuanza kutunyemelea kwa sababu hatuna fursa ya kufanya mazoezi mbali mbali ya kijiweka fiti

lakini pia tunajua kuwa wengi hapa tunapenda zana michezo ya Karate na Martial Arts kwani

1) Inafanya mwili unakuwa fit
2) Inafanya mtu unakuwa mpole kwa kufundishwa upole

Katika hili naona nianze kuleta idea ya kutengeneza Club ya Karate ambapo tutakuwa tunakutana tunafanya mazoezi ya karate tutatafuta mwalimu mzuri (Narudia mwalimu mzuri) wa karate ambaye atakuwa anatufundisha

tutakuwa tunapanga ratiba ya karate ambayo tutakuwa tunakutana labda kwa wiki mara kadhaa

tutajisajiri na kujiunga na mashirikisho mengine ya karate kwa ajili kuja kutoa mada, madarasa na training mbalimbali

Wakongwe hii club ya karate itakuwa inawalimu wazuri, tutatafuta eneo zuri na rafiki kwa watu wa kariba yote kukutana na kujifunza

JF Karate Club nafikiri tuifanye kuwa ni club ya kipekee, iliyostaarabika, na mfano wetu uonyeshwe kwa jamnii

Naamini tutaweza
 
Hii nzuri, napenda sana karate ila sijawahi kupata muda wa kujifunza.
 
THen siku jamaa wakitaka kumkamata member wa JF aliyesema ovyo huku BARAZANI.
Wnakuja Club, wanakamata wote.
Unaaza kutoka wewe, wao unawaacha mpaka hapo watakapopata club nyingine ya Jela.

Acheni ushamba.
Mkienda imekula kwenu.
 
Wakongwe habari zenu aisee wote tunajua kuwa maisha yamebadilika sana kutokana na pilika pilika za maisha utafutaji wa fedha watu tunakuwa busy sana kwani ukiangalia ratiba ya mtu ni nyumbani, kazini halafu nyumbani

ratiba hii inatoa fursa ya magonjwa kuanza kutunyemelea kwa sababu hatuna fursa ya kufanya mazoezi mbali mbali ya kijiweka fiti

lakini pia tunajua kuwa wengi hapa tunapenda zana michezo ya Karate na Martial Arts kwani

1) Inafanya mwili unakuwa fit
2) Inafanya mtu unakuwa mpole kwa kufundishwa upole

Katika hili naona nianze kuleta idea ya kutengeneza Club ya Karate ambapo tutakuwa tunakutana tunafanya mazoezi ya karate tutatafuta mwalimu mzuri (Narudia mwalimu mzuri) wa karate ambaye atakuwa anatufundisha

tutakuwa tunapanga ratiba ya karate ambayo tutakuwa tunakutana labda kwa wiki mara kadhaa

tutajisajiri na kujiunga na mashirikisho mengine ya karate kwa ajili kuja kutoa mada, madarasa na training mbalimbali

Wakongwe hii club ya karate itakuwa inawalimu wazuri, tutatafuta eneo zuri na rafiki kwa watu wa kariba yote kukutana na kujifunza

JF Karate Club nafikiri tuifanye kuwa ni club ya kipekee, iliyostaarabika, na mfano wetu uonyeshwe kwa jamnii

Naamini tutaweza
Mkuu nataka niwashawishi wazazi wa shule flani ya Pre & Primary school flani waongeze hela kama elfu kumi kwa semester ili watoto wao waweze kufundishwa hii waonaje.
 
Back
Top Bottom