Recent content by josee88

  1. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ajira kwa Diploma ya Uhasibu kutoka Open University

    Msaada tafadhali Mhitimu wa diploma ya uhasibu kutoka chuo Kikuu Huria Tanzania, anaweza kuajiriwa katika taasisi mbalimbali ikiwemo na serikalin km Mhasibu msaidizi?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Ualimu imeniharibia maisha yangu. Sisemi msiisomee la hasha!

    Dah! nimejihc machozi...MUNGU ni mwema ipo pengine siku nitakuja kuandika ujumbe km huu..kila la kher uko uliko... endelea kutuombea nasi
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

    [QUOTE="Nathan Jr, Nimekuelewa sana kiongozi, ninakushukuru sana katika hili, wazo lako ni sahihi tena kwa uekevu, hata mimi nimejikwaa kwa ugusi wa mtazamo, ila kama pia umesoma ujumbe wangu utakuwa umebaini kuwa pia hata mimi siko katika mrengo huo wa kurithi ubora, asante kiongozi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

    Hakika hawali nasikia hizo propaganda niliamini katika hii dhana, baada ya kwenda pale UDOM nilipokuwa nasoma wasifu wa walim wangu wote walionifundisha toka Mwaka Wa kwanza mpaka Wa tatu ni mmoja tu alikuwa kahtim kutoka Chuo cha SUZA ila walo baki wote ni wahtim wa UDSM na la kushangaza walim...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana kupata first class Ukiwa UDOM kuliko UDSM, IFM, SUA na Mzumbe. Inaonekana Walimu wa UDOM wanafundisha sana

    Nina kila sababu ya kuheshimu wazo lako na sina data za kutosha kukupinga maana sijafanya utafiti huo, ila pengne nisaidie kidogo katika hili 1. Asilimia 85 ya walimu wanaofundisha UDOM ni wahitimu wa UDSM 2. Wakaguzi wa mitihani wanayofanya wanafunzi wa UDOM kutoka nje ni kutoka UDSM 3...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Aliyesoma postgraduate diploma ya sheria open university anaweza kusoma school of law?

    Mtu aliyesoma postgraduate diploma ya sheria open university anaeza pata nafas ya kusoma school of low?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kagera kivingine tena

    KWA MARA NYINGINE TENA.... Ni faraja iliyoje tena kwa mkoa wa KAGERA kuendelea kufanya vizur kwa matokeo tena ya kidato cha NNE yaliyotangazwa Jana ...mtiha huu ulifanyika mwaka Jana 2016 na matokeo yake yametangazwa January ya 2017...juz nilipost makala nikionesha furah yangu juu matokeo mazur...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo; Nawaza kuachana na comb hii ya HGL niende garage

    Mawazo yako n sahh....lkn nashaur malizia masomo yako....acha kuamua kwa mtazamo na hisia....hgl bado unaeza toka.....elimu ya juu c kwa ajil ya kukuandaa kwa utendaj bali kua mwanafikra....mbunifu...unajawa na wazo jins kiti kinavyoweza kua alaf ndipo sasa unawahusisha ao vocational trainees...
  9. J

    JamiiForums Tanzania 'Majembe' yaliyowekwa benchi na mheshimiwa

    Da ama kwel unenikunbusha watu mahm hawa....hakika kanal Fabian Massawe mchango wake kwa kagera n mkubwa sana
  10. J

    JamiiForums Tanzania Hivi tumejifunza nini kwa kifo cha mchezaji Ismail Khalfani wa Mbao Fc?

    Pamoja na kifo kutokua na kinga, bado nashawishika kusema hatuna budi kueka tahadhal
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu sana kuoana watu wa imani moja, tuepuke migogoro

    Yaweza kua kwwli...lkn iman ya pamoja ya aje? Unamaanisha mkrist kwa mkristu? Au mwi-islam kwa mwi-islam? Au madhehb ndan ya izo din? Kwa maon yang din n kwa kias kidogo inachangia watu kumaliza tofaut za kindoa...na pengne hyo inaweza tokea km wawili hao wamelelewa katka mazingira ya kiiman na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nampenda mume wangu lakini haniridhishi tukiwa faragha

    Ohoooo waoooo da! Nimesoma kitu hapa nam....nahc na wakwangu analalamika
Back
Top Bottom