kilukunyenge
Member
- Dec 21, 2016
- 20
- 16
Mimi ni mwanafunzi wa advance form 5, O-level nilisoma sayansi ila kwa sababu nilifeli mathematics nikapangiwa comb ya arts ambayo ni HGL.
Kiukweli sipendi arts na shule wamegoma kunibadilishia comb kwa sababu nilifeli math sasa nipo likizo na kiukweli mpaka leo bado sina malengi ya hii comb ya HGL sijui kama itanitoa au ndio nikimaliza narudi kutafuta mishe kitaa kwangu nimefikiria ni bora niache advance niende nikajifunze garage ili niwe na fani
Naombeni msaada hapo vipi mnaonaje niende tu garage au niendelee na advance ndugu zangu na sisi wa arts hatuna pakushika kwenye hii serikali yetu naomba msaada wa mawazo wenye tija ndugu zangu