Je, ameshawahi kuomba hizo ajira na kukataliwa kwa sababu ya hiyo kozi toka chuo hicho?Msaada tafadhali
Mhitimu wa diploma ya uhasibu kutoka chuo kikuu huria Tanzania, anaweza kuajiriwa ktk taasisi mbalimbali ikiwemo na serikalin km mwasibu msaidizi.
Huwezi kupata nafac ya ajira may be ungekuwa mtumish tayari ungefanyiwa categorization ,Msaada tafadhali
Mhitimu wa diploma ya uhasibu kutoka chuo Kikuu Huria Tanzania, anaweza kuajiriwa katika taasisi mbalimbali ikiwemo na serikalin km Mhasibu msaidizi?
Hawezi kupata kwa sababu gani???Huwezi kupata nafac ya ajira may be ungekuwa mtumish tayari ungefanyiwa categorization ,
Huna maarifa ya kutosha compare to yuke aljyesoma campus , aliyesoma campys upo compete sana compare to open ,open ni kwa ajili ya kuendeleza career yako ,ili kuboresha utendaji wa kazi kaziniHawezi kupata kwa sababu gani???
Kitaaluma mambo yote uliyoandika hayana usahihi hata kidogo.Huna maarifa ya kutosha compare to yuke aljyesoma campus , aliyesoma campys upo compete sana compare to open ,open ni kwa ajili ya kuendeleza career yako ,ili kuboresha utendaji wa kazi kazini
Kijana mhitimu wa OUT ana sifa sawa na mhitimu wa chuo kingine chochote. Kwa hiyo kuajiriwa ni suala la competency yako mwenyewe na jinsi utavyoupiga mwingi kwenye interview.Msaada tafadhali
Mhitimu wa diploma ya uhasibu kutoka chuo Kikuu Huria Tanzania, anaweza kuajiriwa katika taasisi mbalimbali ikiwemo na serikalin km Mhasibu msaidizi?