Recent content by josafe90

  1. josafe90

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy m11, 250K

    Sina hakika kama hiyo fingerprint inafanya kaz
  2. josafe90

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Itikadi Kali?

    Wakuu habari, Kuna hii habari ya kutoka ufaransa nimeisoma ila kuna kitu naomba kujuzwa kwa mwenye uelewa zaidi Imeandikwa hivi.... Maafisa nchini Ufaransa wameanzisha msako katika makumi kadhaa ya misikiti na kumbi za sala zinazoshukiwa kuwa na uhusiano na Waislamu wenye itikadi kali. Waziri...
  3. josafe90

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ufisadi Mkubwa unaendelea wakala wa mwendokasi

    Nafikiri wadau wa suti nyeusi wapo humu watalishughulikia swala lako
  4. josafe90

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kimawazo wa kumsaidia mdogo wangu

    So sad ila amepata mafunzo jkt aende ku apply akirudi.
  5. josafe90

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 unaisha, njooni tujadili fursa za kibiashara 2021

    Hiyo ya form ni frem au nini? Hebu dadavua kidogo boss
  6. josafe90

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimesoma chuo mpaka mwaka wa pili

    Ungeweka na kiwango cha mshahara ambacho utaridhia kiwe ndo minimum kwako nafikir itatupa urahis wa kuona kipi tukuletee na kipi tuachane nacho.
  7. josafe90

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Ulaya (EU) wataka kujua msaada wa Euro Mil. 27 za COVID-19 kwa Tanzania uliahidiwa kwa vigezo gani?

    Hela ipo tutawalipa, baba kasema hii nchi ni tajiri
  8. josafe90

    JamiiForums Tanzania Ushonaji wa Sare msibani na kiwango cha majonzi

    Tatizo hadi misiba tunataka fasheni, badala hizo pesa mngempunguzia mfiwa madeni yatakayojitokeza wakati wa maandalizi ya mazishi.
  9. josafe90

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

    Jamaa kaenda wap tena? Kwan hajui kama kvifurushi vina expire aisee
  10. josafe90

    JamiiForums Tanzania Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

    Jamaa malizia bas hii kitu,ujue na sisi Tunahitaj kaka.
  11. josafe90

    JamiiForums Tanzania Kuwa mpole hauijui kesho yako

    Good saying,wenye akili wameshaelewa na kulifanyia kazi
  12. josafe90

    JamiiForums Tanzania Marekani Watengeneza Risasi Yenye Uwezo wa Kukata Kona na Kumfuata Mpigwaji!

    Sasa inakunja kona kumtafuta mtu how? Kwan mtu anaweza ikimbia risasi? Sijaelewa,kama kuna mtu anieleweshe
  13. josafe90

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikutaka kuwasikiliza ushauri wenu naomba mnisamehe

    Jaribu kumwambia ukweli tu then myamalize,ukiendelea kuficha ndo unazidi kuharibu
  14. josafe90

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Nawasiwasi na akili yako mkuu,haupo sawa wewe
Back
Top Bottom