Natafuta kazi, nimesoma chuo mpaka mwaka wa pili

Nov 19, 2020
5
27
Habari wana Jf.

Kwa majina nnaitwa Agness George nimemaliza kidato cha 6 na kujiunga na University katika stashahada ya biashara BBA lakini sijafanikiwa kumaliza miaka 3 nimeishia miaka 2 tu.

Nilikuwa natafuta kazi yoyote iwe temporary hata permanent itakayoniweka busy tu na kazi ili nisiwe mtaani free bila kufanya jambo lolote.

Sina uzoefu wa kazi nilio nao ni kwamba nimesha wahi uza duka kubwa la jumla as cashier.

Msaada kwa yeyote atakayekuwa na connection.

My namba 0745149663
 
Mwenyezi Mungu akupe hitaji la moyo wako. Pamoja na yote naomba nikupe ushuhuda mmoja, mwenzio siku mbili tatu zilizopita nimeweka tangazo kuwa nimemaliza chuo ngazi ya shahada fani IT mwaka wa masomo 2019/2020 na nikaomba shughuli yeyote ya kufanya, kujitolea au kibarua cha muda na Mungu kanisaidia nikapata mtu ambaye yupo mkoani ikanilazimu kukopa nauli nije mkoani ila ninachokutana nacho huku wandugu kwa kweli mara mia kubaki bila kazi maana ukisimliwa basi tu.

Imefikia mahali hata uhakika wa kula sina pahali pa kulala napo ni matatizo nakuwa kama mtu nisiyejielewa. ILA Najipa moyo lipo kusudi la mwenyezi Mungu mimi kupitia haya.
In short ni hivo, ila pambana.
 
Habari wana Jf.

Kwa majina nnaitwa Agness George nimemaliza kidato cha 6 na kujiunga na University katika stashahada ya biashara BBA lakini sijafanikiwa kumaliza miaka 3 nimeishia miaka 2 tu.

Nilikuwa natafuta kazi yoyote iwe temporary hata permanent itakayoniweka busy tu na kazi ili nisiwe mtaani free bila kufanya jambo lolote.

Sina uzoefu wa kazi nilio nao ni kwamba nimesha wahi uza duka kubwa la jumla as cashier.

Msaada kwa yeyote atakayekuwa na connection.

My namba 0745149663
Collins ni jina la kiume
 
Binadamu huwa hana MAJINA.
Bali ana jina moja tu. Mfano wewe jina lako ni Agness Grorge!
 
Ungeweka na kiwango cha mshahara ambacho utaridhia kiwe ndo minimum kwako nafikir itatupa urahis wa kuona kipi tukuletee na kipi tuachane nacho.
 
Kukufundisha zaidi ni kwamba jina lako na ubini wako haina maana ni majina mawili.
Ni jina moja tu.
Kama ukisikia mtu ana MAJINA MENGI basi jina moja ndio linahesabika. Yale mengine ni a.k.a au alias...
Na hayo majina mengi haimaanishi ule ubini bali ni jina la kwanza.
Mfano utakuta mtu anaitwa Agness au Neema au Grace. Lakini akitumia mojawapo kati ya hayo say Neema George huwezi kusema ametaja majina yake....bali ametaja JINA LAKE!
 
Habari wana Jf.

Kwa majina nnaitwa Agness George nimemaliza kidato cha 6 na kujiunga na University katika stashahada ya biashara BBA lakini sijafanikiwa kumaliza miaka 3 nimeishia miaka 2 tu.

Nilikuwa natafuta kazi yoyote iwe temporary hata permanent itakayoniweka busy tu na kazi ili nisiwe mtaani free bila kufanya jambo lolote.

Sina uzoefu wa kazi nilio nao ni kwamba nimesha wahi uza duka kubwa la jumla as cashier.

Msaada kwa yeyote atakayekuwa na connection.

My namba 0745149663
Kwanini uliacha chuo,?
 
nashukuru kwa kua umebarikiwa na upeo wa ziada tofauti na wachache wengine
Hawa nawajua sana ni vimbelembele na visalatamtaa, halafu wana wivu kibao tu unaweza kudhani hata wachawi. Hawataki hata kabisa wakae kumwona mtu amefanikiwa, wanataka wao tu. Halafu watu wengi wa sampuli hiyo huwa hawana kazi, nao wanapuyanga tuu mtaani na wanaona aibu kuwa majasiri wa kuuliza na kuomba msaada kama wewe. Sikia nikwambie Aggy, usimwogope mtu. Vaa ujasiri wote ulio nao hadi utakapofanikiwa tani yako. Woga wako ndio kushindwa kwako. Ujasiri wako ndio ushindi wako. Achana na wambeya hao walioshindwa maisha.
 
Mimi natafuta mke atayesimamia vi mradi vyangu kama uko tayari nami niko tayari,fanya mchakato
 
Maisha yana changamoto nyingi kama unaweza rudi soma hata diploma ndio uombe kazi ya kuajiriwa. Kama nyumbani mna uwezo kidogo anza hata biashara ya kuuza vitafunwa mtaani kwenu.

Maana kuna wengine wamesoma mpaka miaka minne chuonna kumaliza ila tupo nao mtaani tunabeti.
 
Hawa nawajua sana ni vimbelembele na visalatamtaa, halafu wana wivu kibao tu unaweza kudhani hata wachawi. Hawataki hata kabisa wakae kumwona mtu amefanikiwa, wanataka wao tu. Halafu watu wengi wa sampuli hiyo huwa hawana kazi, nao wanapuyanga tuu mtaani na wanaona aibu kuwa majasiri wa kuuliza na kuomba msaada kama wewe. Sikia nikwambie Aggy, usimwogope mtu. Vaa ujasiri wote ulio nao hadi utakapofanikiwa tani yako. Woga wako ndio kushindwa kwako. Ujasiri wako ndio ushindi wako. Achana na wambeya hao walioshindwa maisha.
Umeenda PM sasa.?
 
Back
Top Bottom