Recent content by joline365

  1. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Songea anamiliki heka 100 za mahindi.Je,huu sio ufisadi?

    Hata mimi ninatafuta kumiliki ekari 100 au zaidi kihalali, maana siyo kosa kama zimepatikana kihalali.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Eti mfumo dume, thubutuuu, hamuwajui wanawake nyie.....!

    Feminizing the world!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dr. Slaa hapendi kuhudhuria mazishi ya wasanii wetu?

    Kwa nini JK na wenzake ndani ya ccm wanahudhuria misiba ya wasanii tu? kwani wengine wanaokufa siyowatanzania? au wasanii ndio watu muhimu zaidi kwake na kwa ccm?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Msaada,kitovu kumdondokea mtoto mchanga

    Imani potofu hizo, hakuna uhusiano wowote hapo.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Je wajua kirefu cha moshi na kwa nini wachaga iko pesa, soma hapa

    Tusifanye mizaha na jina la Mungu wetu hivi! Kumbuke, usilitaje jina la Bwana Mungu wako bure maana......
  6. J

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kujiuza mwili yapewa nafasi kubwa Tanzania

    NIMEKOMA naona umekoma kweli.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Madaktari walioshiriki mgomo.

    Wiki iliyopita nilisoma kwenye gazeti la nipashe kuhusu kuanza kuhojiwa kwa madaktari walioshiriki kwenye mgomo na hatimaye kusitishiwa usajili na walisema wanaanzia Mbeya. Naomba mwenye updates ya kilichojiri na kinachoendelea mpaka sasa atujuze.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Madaktari walioshiriki mgomo.

    Wiki iliyopita nilisoma kwenye gazeti la nipashe kuwa baraza la madaktari linaanza kuwahoji madaktari walioshiriki kwenye mgomo na baadaye kusitishiwa usajili na ilielezwa kuwa wanaanzia Mbeya.Naomba mwenye updates atufahamishe kilichoendelea au kinachoendelea hadi sasa.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Yanga muiache simba ipumue

    pole sana ndugu ila ombi lako halikubaliki hata kidogo, kilichopo ni kukaza zaidi mpaka kitakapoeleweka. Daima mbele, nyuma mwiko.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wito kwa waislam wote tanzania. Tushikamane ijumaa hii

    Mwenye ufahamu wa kutosha hawezi kuunga mkono uchochezi wa wazi kama huu.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wapinzani Malawi :Nchi Imemshinda Rais Joiyce Banda !!!!!

    Nawaunga mkono hao wapinzani wa Malawi, huyu mama nchi imemshinda kabisa. Anategemea fadhila za wazungu kwa kila kitu na asipobadilika atailetea nchin yake matatizo makubwa.
  12. J

    JamiiForums Tanzania HOJA MBADALA: Tuhamasishe CCM imsimamishe Membe 2015?

    Lowasa ndiye pekee ndani ya ccm ambaye anaweza kutumainiwa kidogo na mwenye uwezo wa kusimamia kile anachoamini kama kiongozi(vision). Hakuna mwingine wa kulingana naye ndani ya ccm japo hataweza kushinda kwa CDM 2015.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe Degree haisaidii ku win Life???

    Kwenda chuo kikuu muhimu sana ndugu, fanya bidii na we upate degree ili ufanye mambo yako kwa ufanisi zaidi. Wapo wengi waliopitia chuo kikuu na mambo yao yametulia sana.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Who: Choma Mwizi, Uwa Albino, Samehe Mafisadi-Usiguse Kanisa !!!

    Utakuwa mfuasi wa ponda wewe!
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hivi shekh Ponda anwakilisha kundi gani la waislamu?

    Habari wana jf. Nimekuwa napata shida kumwelewa huyu anayeitwa sheikh ponda, hivi anawakilisha kundi gani la waislamu? Amekuwa akiendesha mapambano dhidi ya BAKWATA, SERIKALI NA SASA WAKRISTO, Yeye ni alqida, al shabab, boko haram au ni nani hasa?. Na kwa nini anaendesha harakati zake bila...
Back
Top Bottom