Nicole
JF-Expert Member
- Sep 7, 2012
- 4,274
- 2,523
matunzo yataka pesa so zichange umtunze Evelyn Salt......sio kupiga mayowe!!!!
ha ha ha ha ha ha! jamani lol! mwanamke yake nyama ya ulimi na matunzo kwisha habari yake.........yaani nyie mkilelewa kama Malkia mnajisikia raha sana.
Last edited by a moderator: