Clouds tv sahiv inaonekana nchi yingi za EastAfrica na nyinginezo kupitia dstv, sasa kwa jambo kama lile linaonyesha jamii ya Africa kwamba sisi Tz ndo tulivo ukizingatia kiswahili ni maarufu zahiv
Wakuu habari zenu. Naomba kwa yoyote anaejua au mwenye details zozote za NACHINGWEA SEC SCHOOL, kama vile comb zilizopo, picha za hapo shuleni na kama ni single au mixer school. Msaada wenu please!
Habari zenu wakubwa. Mimi naomba ushauri wenu nimeitimu kidato cha nne mwaka jana na nilipata division 2 nikiwa science na ninaufahuru ufatawo chem C, bios C, phy D, math D and so on. Niliomba Nacte, clinical officer ila bado post zao bado na za necta zimetoka nimepangiwa. Sasa sijui nifanyeje...
Ki ukweli kabisa huyu mtu wa tatu ni ana nguvu zaidi ya raisi atakama leo hii anyone from JF akipewa uraisi still na yeye atafanya aliyofanya raisi msitafu na anayoyafanya sahivi Mr president.
Na still mtu huyo wa tatu bado anawacontrol wote wanaokuja kwa nguvu na nia ya kutupeleka sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.