NACTE Imetema, angalieni Profile zenu

NACTE Imetema, angalieni Profile zenu

Hv jamani hawa nacte wata recruit wahitaji wengine kwa mwaka huu!?
 
wana media naomben msaada jins ya kupata hyo systerm maana naingia bado sion pa kuingia
 
naomben msaada wenu niweze kuangalia profile yangu
 
kwa akil yako timamu kama selection zmejaa we unazan zimejaa vp kama sio baada ya kufanyika selection acha ushamba broo huo utoto jiongeze alaaa
 
Msaada nasikia nacte wametoa majina ya bachelor lakini nikicheki kwenye profile yangu hakuna mabadiliko au ni kwasababu niliupdate Mara ya mwisho tarehe 28/09/15 SAA 14:00hrs na je waliopata ni waina gani na je watatoa tena majina mengine?
Kweli hakuna mabadiliko maana hatukuchagua mabadiliko nchi hii.
 
Mkiona post muwe mnangalia na tarehe sio mnarukaruka tu mbona hiyo post ni ya 2015 kwan hamjaona?
 
hiv kwa wale profile zao hazijabadililka inakuwaje au ndo mchakato unaendelea

Hizi habari zimetoka wapi jamani? Mimi nikifungua NACTE page mbona inakuja blank hakuna chochote? mnatumia mtandao gani?
 
Na pia nimekuwa nikijaribu kufungua sehemu ya udahili wala haifunguki na profile ndio haipatikani kabisaa nitakuwa nakosea wapi
Tulia Mkuu. Huu Uzi wa mwaka Jana. Mpaka sasa NACTE hawajatoa selection yeyote. Usijali yatatoka tu
 
Hizi habari zimetoka wapi jamani? Mimi nikifungua NACTE page mbona inakuja blank hakuna chochote? mnatumia mtandao gani?
Habaro za mwaka Jana hizi nyie mnakurupukia tu. Mpaka sasa hakuna selection yeyote.
 
Back
Top Bottom