Mkumbizi
Senior Member
- Dec 31, 2013
- 171
- 26
Sikuhizi wameboresha nasikia kuna jamaa wengi tu wanasoma.Haka kachuo nilisomaga kana ubabaishaji usipojaziwa marks za unit ulizosoma utajikuta unarudia huo mtihani labda kama siku hizi wamebadilika
Sikuhizi wameboresha nasikia kuna jamaa wengi tu wanasoma.Haka kachuo nilisomaga kana ubabaishaji usipojaziwa marks za unit ulizosoma utajikuta unarudia huo mtihani labda kama siku hizi wamebadilika
Wameboresha sana sikuhizi,nimepata taarifa kwa jamaa ambao wamesoma huko,hawatashida kama ilivyokuwa zamani.Haka kachuo nilisomaga kana ubabaishaji usipojaziwa marks za unit ulizosoma utajikuta unarudia huo mtihani labda kama siku hizi wamebadilika
Sikukuu gani iishe tena??Subiri sikukuu iishe
Kweli kabisa mkuu me nipo pamoja na wewe. Sasa sijui hao Nacte hawaoni watu wanavyo hahaMm nawambia kwa mwendo huu Tz kupata maendeleo itakuwa ngumu kidogo kwa sababu watz hatuendi na muda na tuna dharau sana.Haingii akilini nacte kugomaa kabisa hata kutoa taarifa ya nini kinaendelea ili mtu awe anajua kuliko kuwapa watu presha kiasi hiki.Narudia tena kwa mwendo huu tz maendeleo baadaye sanaaaaaa......

Poa kama wameboresha ni chuo kizuri ukitoka hapo aliyetoka chuoni hawezi jilinganisha na wewe kwa sababu unasoma vitu vingi sehemu mbalimbali kwa sababu hujui hata mtihani unatokaje. Baada ya kumaliza nilikuwa field na watu wa vyuo vingine kwa kweli maboss walinifagilia sana. Watu wanakidharau lakini wanafunzi wa pale hawasomei mitihani bali ujuzi.Wameboresha sana sikuhizi,nimepata taarifa kwa jamaa ambao wamesoma huko,hawatashida kama ilivyokuwa zamani.
Ningependa kujua ni lini Nacte uwa wanatoa majibu ya kujiunga na vyuo vya afya
Mim narudi kijijin NACTE wakitoa majina ya waliopata vyuo diploma na cheti 2016 mtanitumia sms namba yangu ni https://jamii.app/JFUserGuide nimechoka na uvumilivu ..bora nkavune kahawa na nkafyatue tofali kuliko kuwasibir nacte..wakuu kumbuken kunitumia sms..naomben sana narudi bushi lusungo