Mi nafikiria sababu kama mbili ambazo zinafqnyq mwitikio umekuwa mdogo.
1. Gharama za ufungaji huo mfumo unaweza kuwa ni kikwazo.
2. Nafikiri pia japo gesi ni nafuu lakini yawezekana performance yake ukilinganisha na petrol na diesel bado haijashawishi watu wengi kwani magari hayo yanabilishiwa...
Mkuu umefikira mbali sana, umewaza kitu ambacho hata sikukifikiria kabisa. Nakubaliana na wewe kwamba inakuwaje ATM zisiwekwe noti za dinominasheni mbali mbali ili mtoaji achague kiasi kulingana na dinominasheni anayotaka kulingana na matumizi yake.
Hizi kumi kumi zitakuwa nyingi mtaani...
Hiyo statement ya "It is Madrid against the world" imenikumbusha aliisema Zidane kipindi anaingia Uefa Champ finali kwa mara 3 mfululizo. Statement moja ya kutia morari wachezaji kwa kiwango cha juu sana.
Hata mimi niliwaza hivi hivi, au aweke mambo yake fresh ila asimwoneshe dalili za kumkimbia! akiwa tayari ampe kiasi flani cha pesa ikiwa kama kamugiza mbali ( sehemu ya kutumia masaa zaidi ya 6 au siku nzima) yeye anarudi anasomaba vitu vyake, business closed.
Na hiki cha kusifia sifia ndo kimeifanya Uingereza kwenye michuano ya kimataifa kuwa na hype kubwa lakini makombe yakiwakimbia. Wanatabia sana ya kusifia vya kwao hata kama havina maajabu. Vyombo vyao vya habari kwa propaganda sidhani kama kuna vya nchi nyungine vinaifikia.
Nimekuwa nikijiuliza kwani kitambulisho maana yake ni nini? na kazi yake ni nini?, au vinatumika kwa baadhi tu ya watu na taasisi na sekta nyingine?. Wanafunzi wa Shule ya Msingi na Sekondari siku hizi hawana vitambulisho ama ni mimi sifatilii mambo? Yawezekana kwao sio muhimu kwa sababu wanavaa...
Halafu tunatafuta mchawi kuhusu upungufu wa bidhaa, kumbe muda ambao wengi wetu tungeutumia kubuni mbinu za uzalishaji bidhaa walio wengi tunautumia kubeti, ukiwa na tsh 1000 kwenye simu yako ni mtaji tosha. Asubuhi mpaka jioni tunafanya uchambuzi wa mechi(hii inatuhusu wale tusio na shughuli...
Kuna ile mtu anafunga chuo hataki kwenda kwao hasa wa vijijini, anaamua kutafuta ndugu hata ambaye hawajazoeana sana anaamua kukaa kwake. Hii kitaalam I.ekaaje.
Aliyeweza kuunganisha makabila mbalimbali na kutengenza jina moja la kabila la "Wachaga" ndo chanzo cha mafanikio yao. Yale ni makabila mbali mbali yaliyoungana, so kwa nje wanonekana wamoja lakini kwa ndani wana vita ya kila kabila kupata mafanikio, so boom. Kama kuna mtu anabisha Wachanga sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.