Recent content by John74e

  1. J

    Hizi SALON za kiume za massage na Kushave balaa

    Mzee nashukuru sana...nitalifanyia kazi..Nahitaji huduma bora ...!!
  2. J

    Je kulikoni IPP? Malalamiko na kuacha kazi kwa wafanyakazi

    Kucheleweshewa mishahara sio hoja..! those things happens kila mahali..! kwanini mzungumzie Ipp tu ? Kama kuacha kazi kwasababu ya kucheleweshewa mishahara wangeanza kuacha wafanya kazi wa serikalini...! Those are like housegirls, they choose where to go and work..!! Hakuna anaye katazwa...
  3. J

    Hizi SALON za kiume za massage na Kushave balaa

    Wapi mjini naweza kupata Saloon yenye huduma bora za jinsi hii ..! Nahitaji Saloon yenye busara na si ya vijana wakihuni..Mwenye kufahamu anaweza kuni pm au kuniandikia moja kwa moja kwa hapa !
  4. J

    Ze Utamu blogger under arrest?

    Invi ....!! Shauri yako...Peter akijua utakoma wewe..!!!
  5. J

    Ze Utamu blogger under arrest?

    Mkuu ni kweli kabisa, wakati mwingine ni vema kujiuliza maswali ya msingi zaidi. Hatupo hapa kuchomana bali kuwekana sawa pale palipo pindika. Mimi kama mimi bado ninauhakika kabisa kwamba posts na picha nyingi zilizokuwemo ndani ya zeutamu si yeye Peter pekee aliyezitengeneza na kuzituma...
  6. J

    Waziri Mkulo na matusi kwa mtangazaji wa redio

    Ni mtu pleasant na mwenye kutabasamu wakati wote mahala penye vibinti vidogo..! Mtu kama huyu dawa yake ni ndogo sana. The time of kulindana is out now..!
  7. J

    Ufisadi Ngono kwenye mashindano ya Miss Tanzania

    Rushwa ya mapenzi kwa Tanzania ni kitu cha kawaida kila mahali , Hapa kwenye umiss inaonekana zaidi kwa sababu masikio,mawazo na macho ya watu walio wengi huwa inaelekezwa zaidi kwao kwani ni mabinti wenye kupendeza na kuvutia ki ngono, Nenda kwenye Halmashauri/Munispal au kwenye makampuni...
  8. J

    Franco Mtui apooza mwili mzima

    Taarifa hii imekaa ki-sidilia sidilia !!
  9. J

    Who is Hussein Mohammed Bashe?

    Wengine huwa wana leta majina ya watu ili kuwa tangaza kiaina !!
  10. J

    Obama/ zitto kabwe

    Kaka umemaanisha nini hapa sijakupata ndugu yangu ...!
  11. J

    Kikwete amefanikisha lipi tangu aingie madarakani!?

    Nadhani kajitahidi kuliko marais wote duniani, kwani ni yeye pekee ambaye ameweza kutangazwa zaidi kwenye web site ya ZEUTAMU..! Ulitaka awe maarufu kiasi gani zaidi ya pale..!
  12. J

    Chungu ya Mke wa Mtu...

    Msilete mchezo mambo hayo yapo sana tu , Tena hapo Dar wazee na vijana wenye kutembea na wake za watu mtazame sana...!!
  13. J

    Mh Selelii awaambia mawaziri wana hila bungeni na hawawatakii mema wabunge

    Fedha za ujenzi wa bara bara 4 zingetumika ktk kuongeza jitihada za kuipatia tanzania umeme wenye kuwa na uhakika.!!
  14. J

    Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

    Huyu mama atakuwa alijaribu kuleta kale ka mtindo ka wakina jk ( tabia za baadhi ya viongozi wa kitanzania ) ndani ya Umoja wa nchi za Kiafrika ( AU). kwa kutegemea kuna kulindana. sio kosa lake , Natumia usemi usemao....ASIYEFUNZWA NA ***** HUFUNZWA NA ULIMWENGU.. Hapa ni fundisho tosha kwa...
Back
Top Bottom