WITHOUT ANY PREJUDICE:
1.Kama ni mume kweli kafanya hivi, basi kamuaibisha mkewe lakini baya zaidi kajiabisha na yeye mwenyewe.
2.Kama alijua/alihisi mkewe anamwendea kinyume, angefanya jitihada za kumuuliza kulikoni na kukanyana kistaarabu na ikishindikana waachane kuliko kujitia aibu namna ile.
3.Mke na mume siyo kama wapangaji au mahasimu wanaotafutana kila kukicha.Wanatakiwa kustahiana na kurekebishana .Hiyo siyo staha kwa kipimo chochote kile.