Hizi SALON za kiume za massage na Kushave balaa

Me nadhani hili tuliache kwenye level ya family kuamua. Kuna kitu kinaitwa swinging nadhani tunakijuwa wengi. Kipo sana majuu na kwa Africa nina uhakika na South Africa. Kifupi ni kwamba kwa kuwa sometimes kuna kuchokana kimapenzi ndani ya ndoa so mimi na my wife wangu tunaenda kwenye hiyo swinging club naibua kidosho kwa ajili ya kusex nacho na wife naye anapick njemba wanaendelea. So kama kuna couple zinaenda swinging clubs sembuse saloon tu? Me sioni shida ya kuoshwa tempetations ziko nyingi sana it all depends unavyoicontrol mind yako.

duh!hiyo inatisha. ndoa inakuwa ya nini sasa?i think mkishafika hapo u better divorce kuliko kuwa na ndoa ya maonyesho tu. nakubaliana na wewe sana kuhusu ushauri na majibu ya thread hii.
 
teh teh teehhhhh!!!!!!!
kabla ilikuwa kwa maharusi na dancers but now dayz hata kwa watoto wadogo.
inaonyesha how good are we in creativity
 
Epitome umechimba kaburi ukaingia mwenyewe kwani badala ya kujibu umeishia kulalama weeeeeeeee then ukasepa.

Me nadhani hili tuliache kwenye level ya family kuamua. Kuna kitu kinaitwa swinging nadhani tunakijuwa wengi. Kipo sana majuu na kwa Africa nina uhakika na South Africa. Kifupi ni kwamba kwa kuwa sometimes kuna kuchokana kimapenzi ndani ya ndoa so mimi na my wife wangu tunaenda kwenye hiyo swinging club naibua kidosho kwa ajili ya kusex nacho na wife naye anapick njemba wanaendelea. So kama kuna couple zinaenda swinging clubs sembuse saloon tu? Me sioni shida ya kuoshwa tempetations ziko nyingi sana it all depends unavyoicontrol mind yako.

Duu hii ni kali ya mwaka.
 
Hiari hushinda utumwa, Nadhani aliyejaribu hizo saloon ana hiari kunyoa au kusepa. Akirudi amenogewa.Mimi sioni shida.
 
,,,,,,Ha ha haaaaa!!,kuna jamaa mmoja huku zenji alikua anakoshwa uso na nywele baada ya kunyolewa,sasa saluni za siku hizi zenji wanaleta wadada walio jaaliwa toka bara,na kama unavyojua tena wadada wa kizenji wengi vi basmati(portable),lijamaa limeshamaliza kuoshwa linaambiwa MAKAME haya amka aje mwingine,,halitaki,,kumbe mambo yalikua yesha kua mabaya kwenye suruali,MNYAMA alikua kesha kamata network,kwa kweli ilikua kali kwelikweli.Hi kitu ni balaa lakini si ndo maendeleo bana,tutazoea tu.
mkuuuu weyye sasa ndo umenimaliza vilivyooo maaana umenfanya mwenzio nicheke weeeeee ama..........
 
Sijawahi ona mwanaume anaenda kunyoa au kufanyiwa facial akiwa na mke wake!!
Mi nilishaenda na mke wangu alipoona naanza kufutwa gafula niliona kachange mosheni wakati huo mi na mcheki kwenye kioo nikaona isiwe tabu nikamwambia huyo dada aliyekuwa ananifutafuta aache maana nina haraka tangu hapo huwa siendi na wife saloon tena...
 
Kwa vijana wa zamani watakumbuka jinsi huduma ya kunyoa nywele ilivyokuwa ikitolewa.

Kama siyo chini ya mti mkubwa wenye kivuli basi ilikuwa ni kwenye vibanda vidogo vidogo ambavyo kulikuwepo na kinyozi mmoja mwanaume.

Taratibu kwa kadri muda ulivyoendelea na utandawazi kushika hatamu, sasa tunashuhudia naweza kusema nyumba za kisasa kabisa zimejengwa ama kugeuzwa kuwa maeneo ya kunyolea nywele huku huduma nyingine za kuosha nywele,uso, kucha na nyingine kama hizo zikifanywa na akina dada tena warembo kweli kweli.

Baadhi ya hawa akina dada wamekuwa wanavaa nguo ambazo wakati mwingine zinaacha maswali mengi kwamba je ni huduma hii ya kufanya usafi wa nywele na uso ama ni zaidi ya hapo. Na zaidi ya hapo wakati wa hizi huduma wana minjonjo mingi tu kama kufungua vifungo vya shati ili waweke taulo/kitambaa, wasugue masikio, shingo,..nk.

Nawaulizeni wana-JF wenzangu, je kama uko na mai waifu wako akaona unayofanyiwa na hawa akina dada atakuruhusu uwe unakwenda peke yako? Au kama maiwaifu wako angekuwa anafanya kazi huko, ungemruhusu awafanyie wanaume wengine vile hawa akina dada wanafanya?

Na tujadili!

Wapi mjini naweza kupata Saloon yenye huduma bora za jinsi hii ..! Nahitaji Saloon yenye busara na si ya vijana wakihuni..Mwenye kufahamu anaweza kuni pm au kuniandikia moja kwa moja kwa hapa !
 
Mi jana nilikwenda Saloon ya kiume moja hapo maeneo ya Kijitonyama. Baada ya kunyolewa na mwanaume, nilipelekwa chumba cha pembeni kuoshwa nywele na akina dada. Dada aliyekuja kuniosha alinisogelea kabisa kiasi nikaona maziwa yake yapo karibu kabisa usoni halafu akanisalimia mambo. Kwa kweli nilikuwa uncomfortable na nadhani aligundua akasogea mbali kidogo akaendelea kuniosha. Baada ya kumaliza alichukuwa hizi mnaita nadhani ear cotton swabs akawa anasafisha masikio yangu. Baada ya hapo niliondoka. Lakini kwa kweli niliona huyo msichana alikuwa anajaribu kuni-temp ila 'sikuitika'. Najiuliza ninge kuwa responsive sijui wanakunasaje. Labda ndio kupeana namba za simu maana wanazo waziwazi.My conclusion, hawa wakina dada wana ajenda nyingine zaidi ya kufanya kazi ya kusafisha wanaume.
 
Wapi mjini naweza kupata Saloon yenye huduma bora za jinsi hii ..! Nahitaji Saloon yenye busara na si ya vijana wakihuni..Mwenye kufahamu anaweza kuni pm au kuniandikia moja kwa moja kwa hapa !
Mkuu mbona ziko nyingi tuu. Pitia mitaa ya Sinza hasa kandokando ya barabara ya Shekilango au maeneo ya Sayansi kuelekea Rose Garden! Zaidi ya hapo wasiliana na mkuu hapo juu akujuze zaidi.
 
Mi jana nilikwenda Saloon ya kiume moja hapo maeneo ya Kijitonyama. Baada ya kunyolewa na mwanaume, nilipelekwa chumba cha pembeni kuoshwa nywele na akina dada. Dada aliyekuja kuniosha alinisogelea kabisa kiasi nikaona maziwa yake yapo karibu kabisa usoni halafu akanisalimia mambo. Kwa kweli nilikuwa uncomfortable na nadhani aligundua akasogea mbali kidogo akaendelea kuniosha. Baada ya kumaliza alichukuwa hizi mnaita nadhani ear cotton swabs akawa anasafisha masikio yangu. Baada ya hapo niliondoka. Lakini kwa kweli niliona huyo msichana alikuwa anajaribu kuni-temp ila 'sikuitika'. Najiuliza ninge kuwa responsive sijui wanakunasaje. Labda ndio kupeana namba za simu maana wanazo waziwazi.My conclusion, hawa wakina dada wana ajenda nyingine zaidi ya kufanya kazi ya kusafisha wanaume.
Fikiria hapo ulikuwa single na ukakosa raha, ingekuwaje kama ungekuwa na mai waifu wako!
 
Wanatuibia tu..wanatupaka tu-chemicali ambako hata hatutujui..Wanazuga sijui facial sijui nini ..ili mradi ulipie fedha nyingi zaidi..Uwizi mtupu.

kwani baada ya kunyoa unalazimishwa kufanya scrub? haulazimishwi, so waache wenye kutaka wafanye hivyo
 
Mkuu mbona ziko nyingi tuu. Pitia mitaa ya Sinza hasa kandokando ya barabara ya Shekilango au maeneo ya Sayansi kuelekea Rose Garden! Zaidi ya hapo wasiliana na mkuu hapo juu akujuze zaidi.

Mzee nashukuru sana...nitalifanyia kazi..Nahitaji huduma bora ...!!
 
Mwenzenu ni mpenzi wa kufanya massage kutokana na kazi nyingi nilizokuwanazo mpaka nakuwa na stress. na pia hupenda kufanya shaving kwenye hizi classic salon.

Hawa madada wa kwenye hizi salon ni balaa tupu.

Kun a salon moja nilizoea kushave one dai mdada kimchezo mchezo alicukuwa simu yangu akaniomba atumia kumpigia mtu kumbe alitaka kuchukuwa namba yangu, kilichofuata hapo ni kutongozwa, mwanaume nikauliza sasa mchezo nitapata? jibu niulilopewa ni kuwa hela yako tu, nikauliza bei gani? eti elfu 40 short time, du nilishtuka sana nikauliza nanunua mbuzi au humo ndani kuna vinanda na zeze? akasema utajua mwenyewe, jibu alilopata ni kutowasiliana na mimi tena na afute namba yangu kwenye simu yake MARA MOJA.

Huko kwenye massage nako nikakutana na balaa maana kitaulo nilichokuwa nimejisetiria kilitupiliwa mbali alafu katikati ya shughuli mara nasikia dude langu laanza kufanyiwa massage, si unajua tena ukishikwa shikamana na mimi sikutaka kuonekana mshamba, nikapenyeza mkono wangu na kushika BIKIN yake mara sauti nyororo inatoka UNAYO CONDOM? du ndio ilikuwa salama yangu nikasema NEXT time nitakuja nayo. mpaka muda huu naisubiria NEXT time.

This is a true story, my point is hizi sehemu ni nzuri lakini matumizi yake kwa wengine ni TOFAUTI. ukiwa mpenzi wa haya mambo niambie nikuelekeze........
 
Acha urongo weye hizo salons zinakuwa na wahudumu lukuki mpaka eti uulizwe kondom uko guest?
 
hebu elekeza mkuu. ukifanyiwa massage si unakuwa nusu uch? so kwa nini watu wengi wawepo? tuelekeze ni wapi huko
 
mkuu una gf? mke?

NINAYE, WHY asking?

hebu elekeza mkuu. ukifanyiwa massage si unakuwa nusu uch? so kwa nini watu wengi wawepo? tuelekeze ni wapi huko
Unaweza kuwa nusu au ukafunikwa na kitaulo. kuhusu watu wengi SIJAKUELEWA UNA MAANISHA NINI hapo.

Acha urongo weye hizo salons zinakuwa na wahudumu lukuki mpaka eti uulizwe kondom uko guest?

Shauri yako, kama unaona ni uongo hiyo ni juu yako...... HABRI NDIO HIYO
 
Acha urongo weye hizo salons zinakuwa na wahudumu lukuki mpaka eti uulizwe kondom uko guest?
kaka hii ni kweli na mimi yamenikuta hayo.tena sio mbalini nyuma ya stendi ya makumbusho kuna solon ya massage....nikaulizwa unataka vituzzz bei elfu 30.Nkumbuka mapka chumba kinaitwa chelsea
 
Baelezeeee usichokijua ni sawa na usiku wa giza, so usianze kubisha bisha uliza ueleweshwe......
 
Naona mnapenda kweli kujadili vitu hivi, kama ulifanyiwa si ni wewe na unyamamze kimya!!!!!!!!! Acheni kutuletea stori za chumbani kwenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom