Recent content by john mohammed

  1. john mohammed

    Immanuel Macron ulaya inabidi kuazisha jeshi la pamoja dhidi ya Urusi!

    Russia & N/korea no nchi pekee duniani zenye uwezo wa kukabiliana na USA wengine wote hadi Tz Ni kama wasikilizaji wa wakati wa mkutano wa berlin
  2. john mohammed

    Ahukumiwa kifungo miaka 60 jela kwa kubaka na kumpa mimba mwanafunzi wa kidato cha kwanza

    Hapo inabidi wawe wanampelekea orodha ya vizazi na vifo vya familia yao vinginevyo akitoka atakuta kila kitu kipya machoni mwake PITA MBALI NA SKETI
  3. john mohammed

    Otile ameangusha nyingine bonge la

    #otile brown# kiukweli yupo vizuri. Binafsi namkubali nyimbo zake.Kama umejaribu kuzisikiliza nyimbo zake na kutozikubali utakuwa mpenda singeli
  4. john mohammed

    Ukitaka kufanikiwa katika maisha yako usiwe unamuachia mke wako hela ya matumizi

    Hebu jaribu kufanya wewe kwanza baada ya miezi kadhaa utupatie matokeo nasi tuweze kuamua
  5. john mohammed

    DStv iko poa sana nunueni msiogope

    Dstv wanatoa huduma bora kuliko king'amuzi kingine chochote kile hapa Tanzania ila tatizo ni gharama zipo juu kupita kiasi.Kama utapingana na hili siwezi kukulaumu maana huenda hesabu kwako hazipandi
  6. john mohammed

    DStv iko poa sana nunueni msiogope

    Hiyo ni offer kwa wanaolipa mara kwa mara Hata mie huwa zinashika s3,s5,s6,s7,s11,s12,na maximo
  7. john mohammed

    DStv iko poa sana nunueni msiogope

    Kifurushi cha premier cha Dstv cha mwezi mmoja ni sawa na malipo ya kifurushi cha Azam pure mwaka mzima
  8. john mohammed

    Mashine za selcom na max malipo

    Kwa jinsi ninavyojua mimi kufanyakazi na selcom au max malipo inakupa faida mara tatu zaidi ya kuwa wakala wa mitandao ya simu.Maana hii kazi naijua vizur na ninauzoefu nayo
  9. john mohammed

    Mashine za selcom na max malipo

    Nijuavyo mimi zinatuma tu pesa, ukitaka kujua zaidi 0621000602
  10. john mohammed

    Wakazi amuumbua afande Sele kwa busara

    Kaimba ngoma iitwayo torati ya mtaa akiwa na dully sykes
Back
Top Bottom