Peter Mabala
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 1,216
- 1,685
Mkuu punguza mzaha. Supersport zenye midoli aseee kaazi kweli kweliMkuu hizo supersport ulizoorodhesha zinahusu nini? Isijekuwa midoli
Mkuu punguza mzaha. Supersport zenye midoli aseee kaazi kweli kweliMkuu hizo supersport ulizoorodhesha zinahusu nini? Isijekuwa midoli
Mkuu sasa kama ni ligi za Nigeria na Zambia si bora nilipe 18,000 Azam naona ligi kuu Italy, Spain, Tz, Club bingwa Africa etc? Maana hawa DSTV ukitaka kuwaenjoy vema sio kulipa kifurushi cha bomba, inabidi uchane msamba 16k si mchezo. Labda na kipato kinaku-favour mkuuMkuu punguza mzaha. Supersport zenye midoli aseee kaazi kweli kweli
mimi mbona napata s3, s4, 7, 8, 9, 10, 14, 235 kwa 19000 tuNdiyo mkuu ndani ya ss10.
kifurushi vha 108000Mechi zote muhm unapata kwa kifurushi gani.....? Cha 169k au 19k?
Mwanzoni nilikua naweka cha 19k nilikua nikilipia kabla kifurushi hakijaisha mara mbili mfululizo walikua wananipa ofa ya compact mwezi mzima, baadae nikanogewa so saizi nalipa cha 69kUnaweka Kifurushi cha bei gani?
Serie A, la liga, mechi za FA, WWE na sky sport news unapata kwa 19k pamoja na mechi mbili kila jomamosi za EPL, kile cha 69k ndio unapata karibia mechi zote za EPLMechi zote muhm unapata kwa kifurushi gani.....? Cha 169k au 19k?
SawaMwanzoni nilikua naweka cha 19k nilikua nikilipia kabla kifurushi hakijaisha mara mbili mfululizo walikua wananipa ofa ya compact mwezi mzima, baadae nikanogewa so saizi nalipa cha 69k
Niseme washukuru dstv. Members wengine hawapati hasa hiyo ss3.mimi mbona napata s3, s4, 7, 8, 9, 10, 14, 235 kwa 19000 tu
Asante kwa taarifa mkuu.Kifurushi cha premier cha Dstv cha mwezi mmoja ni sawa na malipo ya kifurushi cha Azam pure mwaka mzima
Hiyo ni offer kwa wanaolipa mara kwa maraNiseme washukuru dstv. Members wengine hawapati hasa hiyo ss3.
Wewe shidah yako siyo Dstv unataka kutonyesha kuwa umenunua flat screen ya nchii 40 si ndiyo?[/QUOTE
Maneno ya fukara siku zote yako hivi.hataki mtu aseme kitu ambacho hana anaona kama anachabwa. Hopeless
69k hapo kodi ya chumba hujalipa.Mwanzoni nilikua naweka cha 19k nilikua nikilipia kabla kifurushi hakijaisha mara mbili mfululizo walikua wananipa ofa ya compact mwezi mzima, baadae nikanogewa so saizi nalipa cha 69k
Mkuu wewe unazipata local channels bure kwenye king'amuzi unachotumia baada ya lile tangazo la TCRA?Acha kuendelea kuibiwa mkuu HAUTAKIWI kulipia 6000 ndio update local channels, zile unatakiwa upate bure bila kulipia kama walivyo to a mwongozo TCRA
Nipo kwangu, sihangaiki na kodi69k hapo kodi ya chumba hujalipa.
Mkuu jua kitu kimoja tu,siku ukiweka azam decoder nyumbani kwako ujue ndio siku utakayopoteza haki zote za kushika remote kwa wanao na mkeo .maana wakitoka sinema zetu wana hamia siriya familia wakitoka hapo wako bentehi wakitoka bentehi wanaingia sijui jarmia .Mkuu nadhani sio uswahili bali upenzi pia. Kuna watu ni wanazi wa soka la bongo huwezi waambia chochote kuhusu Azam ila wale wa EPL mtauana kwa dstv yao. Hapo unakuta ni upenzi. Hivi sasa nimebaini kitu kingine kina mama ukiacha Sinema zetu kuna tamthilia fulani zinaoneshwa saa tatu usiku zimefsiriwa aisee ukibadili chanel unaweza tukanwa vibaya mno. Kumbuka Azam inauzwa 150,000 ila ndio madishi mengi mtaani watu wananunua mno maana yake kuna kitu wanapenda. Kimsingi dstv ni wakongwe na wako vizuri, Azam nachowakubali kwa sasa ndio kituo pekee kinachoonesha taarifa ya habari kwa ufanisi mkubwa sana, nimeacha kuona ITV kitambo baada ya kupata vitu tofauti kutoka Azam ikiwa ni matukio ya live ya ndani utaona picha nzuri. Kimsingi wanakuja vizuri.
Ila ukichukua ule ujimla DSTV wako vizuri, ila tukiangalia kwa issue za ndani ya nchi Azam anatubeba
Hahaha... Kweli kabisa. Haswa zile filamu za kihindi zilizowekewa maneno ya Kiswahili. Utaishia kugombea rimot na mkeo.Mkuu jua kitu kimoja tu,siku ukiweka azam decoder nyumbani kwako ujue ndio siku utakayopoteza haki zote za kushika remote kwa wanao na mkeo .maana wakitoka sinema zetu wana hamia siriya familia wakitoka hapo wako bentehi wakitoka bentehi wanaingia sijui jarmia .
Mi nina cable na azam lakini naangalia mambo yangu baa nikipewa kampani na savana!
Mwongo!!! Nina dstv kwa miaka 4 sasa!! Sasa hivi kama kifurushi kikiisha local channel unayoona ni TBC tu!!! Hawa jamaa ni shida!!!! Kwa local channels hawafai,!!!Hapana mkuu local channel zipo 6 ITV, CHANNEL 10, STAR TV, CLOUDS TV, TBC, TV E.