Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,059
Wakazi ni kumbe ni jamaa wise sana, amefafanua kilichompelekea afande sele kumtolea povu ni kuwa aliulizwa ataje mc wake mmoja mkali akajibu kuwa hawezi kutaja mmoja ila wanne akamtaja Fid Q, One Incredible, Nikki Mbishi na msanii mwingine akaulizwa kuhusu afande sele akajibu afande sele ni mkali ana na albamu yake ya Darubini Kali ni kali na pia ana nyimbo kali ya matazamo ila sio mzuri kwenye lyrical technicality afande hakumuelewa akamdiss
Pia kauli yake ya kusema Said Kalori ni mwanamuziki mkali kuliko Lady Jaydee ni sio sawa kwa kuwa Siad ametoa nyimbo kali amabayo wanamuziki wa bongo fleva wanai sample lakini Jaydee ana albamu 8!
Pia amesema yeye ni kiongozi wa wasanii na alichaguliwa na pamoja na wasanii wengine kusimamia maslahi ya wasanii na michango ya wasanii kwenye misiba alikuwa anakusanya na ni admin wa makundi ya wasanii
Pia alisema alishakutana na Afande Sele kwenye ishu za misiba ya wasanii mara moja na kusema kama afande sele hamfahamu kuna wanamuziki wengine wanamfahamu
Hebu msikilize afande sele na wakazi hapo kisha uone ni nani kamuumbua mwenzake